Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Mtajibalaguza hadi gagu ziwalegee ...Hatutaki huu Mkataba!
Mkataba upi ambao hauutaki?

Nakuuliza hivyo kwa makusudi kabisa, kwa sababu kuna mikataba 36 iliyosainiwa Dubai.

Wewe huutaki upi?

Aunhuuelewi usioutaka nikusaidie? Maanake kuna mkataba umeshaanza kazi. Huwezi kuupinga mtandaoni, unatakiwa ukaupinge mahakamani. Kama Mtanzania una haki hiyo, au ni Mkenya wewe?
 
Kuna neno ubalozi au hilo umeezusha wewe tu?

Mkataba unajitafsiri wenyewe usizushe maneno yako.

Nimesoma vyote hivyo ni vifungu vya kawaida kabisa katika uwekezaji wa nchi.
Na bado unaamini DPW inakuja kuwekeza tu nyuma ya mgongo wa nchi yao! Na nimeuliza mara kadhaa, kwa nini haikupitia TIC au kukamilisha MoU yao na TPA. Mnaoutetea mkataba hamtoi jibu au kwa kuwa mkataba wa IGA umeandaliwa kuibeba DPW?
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Wee mmama unawaza kwa kutumia nini? Mbona uchawa unakusuzidi nguvu.

Magu angekuwepo kwa sasa tungekuwa tunapanda treni ya umeme unaotoka kwenye bwawa la nyerere.

Hizo project zimesimama kwa sababu ya hao wahuni wauza nchi.

Acha kumfananisha Magu na vitu vya hovyo.
 
Na bado unaamini DPW inakuja kuwekeza tu nyuma ya mgongo wa nchi yao! Na nimeuliza mara kadhaa, kwa nini haikupitia TIC au kukamilisha MoU yao na TPA. Mnaoutetea mkataba hamtoi jibu au kwa kuwa mkataba wa IGA umeandaliwa kuibeba DPW?
Siamini kwa Maneno tu, mbona tayari wameshaachia Dollar million 500.

Hiyo MoU yao na TPA unayoisema unaelewa kuwa imeshaanza kazi?

Hivi upo Tanzania hii au upo Kenya?

La "ubalozi" ulizusha uongo tu. Naona umelikwepa.
 
Tena Mungu mkubwa sana, Kikwete tayari ile mikataba, SGR ilikuwa kishawapa China, Bwawa kishawapa Brazil, bandari ya bagamoyo alishawapa China na Oman, jamaaa alipoingia tu akaipiga chini yote.
Alifanya hivyo kwa sababu Kikwete alikuwa muislamu? Bwawa lipi aliwapa wa Brazil? Kikwete nguvu zake alielekeza kwenye gesi, sio hydro.

Amandla....
 
Alifanya hivyo kwa sababu Kikwete alikuwa muislamu? Bwawa lipi aliwapa wa Brazil? Kikwete nguvu zake alielekeza kwenye gesi, sio hydro.

Amandla....
Kumbe haupo dunia hii. Hivi unafikiri mwemdazake alikuja na mradi wowote mpya? jisomee hiyo kuhusu bwawa 👇🏾

Tena ilianza kabla ya hapo👇🏾

High optimism as RUBADA receives a Stiegler’s Gorge Power Project proposal​

The Chairman of the Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) Board of Directors, Prof. Raphael Mwalyosi (second left) receiving a copy of a report and proposal of development of the Stiegler’s Gorge Power project from a Brazilian based Odebrecht International New Business Director, Mr. Fernando Soares in Dar es Salaam over the weekend. At the centre is RUBADA Director General, Mr. Aloyce Masanja and the Brazilian Ambassador to Tanzania, Mr. Fransisco Luz (extreme left).

Rais Kikwete akiwa nchini Brazil | Tanzania Embassy in ...
1687989147257.png

Alifanya hivyo kwa sababu Kikwete alikuwa muislamu? Bwawa lipi aliwapa wa Brazil? Kikwete nguvu zake alielekeza kwenye gesi, sio hydro.

Amandla....
Kauzibe.

Unajuwa maana yake? Ndiyo alilokuwa anafanya mwendazake. Kwa ujinga tu.

Hivi wewe unafikiri mradi upi aliuanzisha yeye? Yote. Kaikuta, hata ya ma flyover akaja kubadili badili Michoro. Skaweka ushuzi wake ule.

Hivi watu wakisema alikuwa na roho mbaya unafikiri utani?
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Akili yako ipo kwenye udini tu huna lolote,Tumeshakusoma.
Unataka kusema kwamba Rais Samia anaonewa kwa sababu ni mwislamu,kwa hiyo unaona yupo sawa sana kusaini mkataba wa kipumbavu hivyo?
Kwani Bwawa la Nyerere na SGR ni mkataba wa kishetani Kama DP World?
Yaani Rais Samia bila hofu yoyote kaamua kuiuza nchi kwa waarabu wa UAE akijua Watanzania ni mbumbumbu hawana la kumfanya.
Mkataba gani huo? Yaani Watanzania wote hatuna akili isipokuwa wana CCM ndo wenye akili?
Kwamba ni mkataba usio na ukomo,maana yake milele yote halafu mwenye maamuzi ya mwisho kwenye Bandari ni DP World na siyo Serikali.
Kwa hiyo hata tukiingia vitani na UAE watatumia Bandari zetu kutupiga na hata tukitaka kujenga military camps hatuwezi hadi DP World wakubali.
Naamini sasa kuwa Samia ni mamluki maalumu aliyetumwa kuimaliza Tanzania.
Halafu wewe Faiza Fox unatoka huko ulikotoka kuja kujenga hoja Dhaifu huna hata haya .
Upumbavu ni kipaji maalumu cha CCM yote.
 
Siamini kwa Maneno tu, mbona tayari wameshaachia Dollar million 500.

Hiyo MoU yao na TPA unayoisema unaelewa kuwa imeshaanza kazi?

Hivi upo Tanzania hii au upo Kenya?

La "ubalozi" ulizusha uongo tu. Naona umelikwepa.
Sijakwepa kujibu hoja zako kwani natoa tafsiri ya dhana iliyotumiwa kutayarisha mkataba huo batili. Ila wewe, hukanushi tafsiri yangu kwa jinsi unavyoelewa hivyo vifungu vyenye utata na kujadiliwa na wengi na hata magwiji wa sheria.

Ukiweza kutoa tafsiri yako, kinyume na wanaoupinga mkataba, utakuwa unasaidia sana kuelewesha. La, sivyo nitaamini nawe ni mmoja wao.
 
Kumbe haupo dunia hii. Hivi unafikiri mwemdazake alikuja na mradi wowote mpya? jisomee hiyo kuhusu bwawa 👇🏾

Tena ilianza kabla ya hapo👇🏾

High optimism as RUBADA receives a Stiegler’s Gorge Power Project proposal​

The Chairman of the Rufiji Basin Development Authority (RUBADA) Board of Directors, Prof. Raphael Mwalyosi (second left) receiving a copy of a report and proposal of development of the Stiegler’s Gorge Power project from a Brazilian based Odebrecht International New Business Director, Mr. Fernando Soares in Dar es Salaam over the weekend. At the centre is RUBADA Director General, Mr. Aloyce Masanja and the Brazilian Ambassador to Tanzania, Mr. Fransisco Luz (extreme left).

Rais Kikwete akiwa nchini Brazil | Tanzania Embassy in ...View attachment 2672407

Ni kweli Kikwete alionyesha interest kwenye mradi huu kuanzia 2006. Kampuni ya IDF kutoka Afrika ya Kusini ikishirikiana na Energen ya Canada waliomba hii kazi kati ya 2006 na 2008. Inasemekana kampuni ya kichina ya Sinohydro nayo ilileta maombi 2008.
Ni kweli kuwa kuna wakati ilielekea kuwa kampuni ya Brazil ya Odebrecht ingeutekeleza baada ya kusaini MoU 2012. Lakini inaelekea ilipofika 2014 mradi ulisimama baada ya serikali ya Tanzania kuonekana kughairi. Kwa hiyo sio kweli Kikwete aliwapa Brazil maana hawakusaini mkataba wa utekelezaji. Kilichosainiwa kilikuwa ni MoU ambacho sio mkataba.

Amandla...
 
Kauzibe.

Unajuwa maana yake? Ndiyo alilokuwa anafanya mwendazake. Kwa ujinga tu.

Hivi wewe unafikiri mradi upi aliuanzisha yeye? Yote. Kaikuta, hata ya ma flyover akaja kubadili badili Michoro. Skaweka ushuzi wake ule.

Hivi watu wakisema alikuwa na roho mbaya unafikiri utani?
Hiyo ni imani yako. Swali langu ni jee alifanya unayomshutumu kwa sababu tu Kikwete ni muislamu au kulikuwa na sababu nyingine?

Amandla...
 
SGR kasaini Rais?

Kanisa Moja Takatifu la Mitume
Ukumbuke magu alikuwa makini aliwaacha wachina akawapa waturuki (waslam) sababu ya mkata nabei Yao ilikuwa nzuri, akubali udini Sasa nyie mkataba mmbovu mnaingia tu nini sasababu au dini
 
Waislamu udini unaonyesha kabisa akili zao hamna kitu kabisa yani khaa serikali inatakiwa ipambane kufuta dini zote za kigeni Tanzania. Dini ni chazo cha ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Muislam mbele ya Mwarabu ni Kama Mbwa mbele ya chatu.

Hana usemi Wala nguvu ya Maamuzi.

Mwarabu anaweza kumfanya chochote hata kumfira.
Kwahiyo kutegemea atafanya negotiation haiwezekani
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Malizana na Bandari kwanza. Acha kurukia rukia mambo
 
Ukumbuke magu alikuwa makini aliwaacha wachina akawapa waturuki (waslam) sababu ya mkata nabei Yao ilikuwa nzuri, akubali udini Sasa nyie mkataba mmbovu mnaingia tu nini sasababu au dini
😆😆
 
Muislam mbele ya Mwarabu ni Kama Mbwa mbele ya chatu.

Hana usemi Wala nguvu ya Maamuzi.

Mwarabu anaweza kumfanya chochote hata kumfira.
Kwahiyo kutegemea atafanya negotiation haiwezekani
Acha uchochezi haukusaidii kitu
 
Back
Top Bottom