Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
SGR haina condition za mkataba kama hizo za waarabu. waturuki pamoja na kwamba ni ndugu wa waaarabu kiimani, hawakuhitaji kutuletea condition hizo kwasababu wao wana ustaarabu wa ulimwengi wa kwanza.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?