FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #221
Ngonjera.Kwa miaka nimekuwa ni msomaji wa michango yako hapa jukwaani. Nilitokea kupenda ujengaji wako wa hoja iwe ni kwenye mada za dini (ukitetea uislamu) ama za kijamii.
Lakini kwa hapa unautukana uislamu, unatumia nguvu nyingi mno kutengeneza mpasuko wa kidini kupitia suala hili la mkataba.
Unajua wazi kabisa wanaopinga wanaopinga nini japo hujui wanaokubali wanaokubali nini. Sie Watanzania siyo exceptional kwamba yalowapata waliofanya hivyo ulivyoanza hayawezi kutupata siye.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Wewe unapinga unakubali? Unachopinga nini, unachokubali nini?
Mada umeiona. Unanini cha kusema kuhusu mada? Ndiyo hiyo ngonjera?