Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pangechimbika hapa!Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Taja vipengele vyenye mapungufu mkataba wa SGR na JNHPP ili tuanzie hapo. Nje ya hapo ni kutafuta kubalance story kwa mgongo wa diniNawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Wamekuja kuwekeza kwenye dini? Au hiyo bandari ni kiisilamu?Nauliza, kinachopingwa bandarini ni nini kama siyo dini?
Hao uliowataja wanajenga wanaondoka.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Unauliza au unajipa majibu,yaani unatuuliza kuhusu kuanza kwa SGR morogoro ?Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Magufuli alikuwa mwizi na dhulumati wa mali za watu atapata adhabu yake huko alipo.Magu hakuuza hio miradi
Huna akili!Ndiyo zenu hizo, kila mkishindwa hoja mnakimbikia dini.
Kwani kinachopingwa bandarini ni nini zaidi ya dini?
Mbina hamuisemi MoU ya bandarini ya Dollar Million 500?
Mama Samia kauza nini kwa Dollar million 500?
Semeni TICTS walitoa ngapi kabla ya kuanza kazi na kwa. Miaka yote ameleta faida upi?
Mwarabu jajaanza kishawekeza Dollar million 500.
Unaelewa hilo au huelewi?
kushindwa kuhuishwa au kuongezwa hii sentence unaielewaje?FaizaFoxy, ungejenga hoja kwa kutumia vifungu vya huo mkataba, mimi ningekuelewa na kuendeleza mjadala, lakini unaishia katika kulaumu tu.
Kama siyo kuuza, unaelewaje kifungu kifuatacho:
KIFUNGU CHA 7:VIBALI VYA MRADI
3. Iwapo vibali vikisha tolewa kwa mradi wowote havitoweza, kubatilishwa, kubadilishwa, kurekebishwa, au kushindwa kuhuishwa au kuongezwa na Serikali ya Tanzania au mamlaka husika ya serikali au wakala bila ya mashauriano ya awali na PCFC inayowakilisha Serikali ya Dubai ikiwa ubatilishaji kama huo, mabadiliko, urekebishaji au kushindwa kuhuisha au kuongezwa kunaweza kuwa na athari mbaya kwa Miradi (au yoyote kati ya hizo).
Kumbuka PCFC ni kampuni inayomilikiwa na Emirate ya Dubai na ikimiliki DPW (100%). Kwa maana hiyo DPW inaingia Tanzania kama balozi kumiliki Bandari na maeneo mengine yaliyoainishwa kwenye huo mkataba batiri. Kwa msingi huo itakuwa vigumu kuvunja mkataba nayo ila kwa njia ya kidiplomasia au mlolongo mrefu kwenye mahakama za UK (Kifungu cha 20 cha huo mkataba batili) kati ya Tanzania dhidi ya Dubai na siyo DPW.
Vifungu vifuatavyo vinakidhi hoja yangu ya kumilikisha bandari na maeneo mengine kwa Emirate ya Dubai, kampuni ya DPW ikiwa balozi mwakilishi. Nanukuu:
KIFUNGU I: UFAFANUZI NA TAFSIRI
“DPW” au “DP World” inamaanisha DP World MEA Ports FZE, kampuni inayomilikiwa na serikali ambayo inamilikiwa kikamilifu na PCFC ambayo inamilikiwa kikamilifu na Emirate ya Dubai,... ambayo itaanzisha Kampuni moja au zaidi za Miradi nchini Tanzania kwa madhumuni ya kutekeleza Shughuli za Mradi.
KIFUNGU CHA 2: LENGO LA MKATABA
1. Madhumuni ya Mkataba huu ni kuweka mfumo wa kisheria wa maeneo ya ushirikiano kwa ajili ya maendeleo, uboreshaji, usimamizi na uendeshaji wa bandari za bahari na maziwa, kanda maalum za kiuchumi, hifadhi za usafirishaji, korido za kibiashara na miundombinu mingine ya kimkakati ya bandari nchini Tanzania.
Vfungu vichache hivyo vya huo mkataba batili, ni dhahiri kuwa hakuna shaka Tanzania inawekwa kwenye utawala wa Emirate ya Dubai. Ili hilo lisitokoe mkataba wa IGA uwe wa ushirikiano tu na DPW iwekeze nchini kwa Sheria, Taratibu na Kanuni zetu, kama ilivyowekeza kwingineko duniani.
Bandari imeuzwa shilingi ngapi?Kwani Bwawa la Nyerere limeuzwa kwa Wamisri kama ilivyo kwa bandari?
Hiki nacho mojawapo ya kioja kututoa kwenye hoja ya kubadili vpengele vichacheNawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Magufuli alikuwa mwizi na dhulumati wa mali za watu atapata adhabu yake huko alipo.
Wewe unaishi ulimwengu gani! Kumbe tunabishana na watu wasioelewa chochote.Kwani IGA kasaini Rais?
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Basi wewe utakuwa ama kipofu, ama hufundishiki.Safi sana, Mkataba una shida gani? Nahamisha hili swali langu kwenye uzi wenye mkataba ili unioneshe vifungu vyenye matatizo.