Ngonjera.Kwa miaka nimekuwa ni msomaji wa michango yako hapa jukwaani. Nilitokea kupenda ujengaji wako wa hoja iwe ni kwenye mada za dini (ukitetea uislamu) ama za kijamii.
Lakini kwa hapa unautukana uislamu, unatumia nguvu nyingi mno kutengeneza mpasuko wa kidini kupitia suala hili la mkataba.
Unajua wazi kabisa wanaopinga wanaopinga nini japo hujui wanaokubali wanaokubali nini. Sie Watanzania siyo exceptional kwamba yalowapata waliofanya hivyo ulivyoanza hayawezi kutupata siye.
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Kwani wa SGR ni wa milele kama wa Bandari?Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Ulichoibiwa banadarini ni nini?Magufuli alisaini mikataba na Waarabu hakuna aliyelalamika kama ni udini kwa sababu ina maslahi kwa taifa ila huu wa bandari ni wizi wa mchana kweupe.
Kwani kulikuwa na IGA (Intergovernmental agreement) kati ya serikali yetu na serikali ya Utruki ya kujenga SGR yetu? Au IGA kati ya serikali yetu na serikali ya Misiri ya kujenga Bwawa la Umeme la Nyerere? Au IGA kati ya serikali yetu na ile serikali ya wazungu watakaochimba LNG yetu ya Mtwara kwa gharama ya shilingi trillion 100?Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Nakupinga wewe na sera zako za hovyo za uongozi. Maliza tu hiki kipindi kifupi cha ngekewa ukapumzike, na uendelee kula pesa ulizochuma na ukae na wajukuu kwenye hekalu lako la Masaki na Mikocheni.Bado hapo hujaeleweka, unachokipinga wewe ni nini? Wacha kubwabwaja bila mpango, maoni ya watu yanakuhusu nini wewe? Kila mmoja wetu atabeba msalana wake. Wewe beba msalaba wako hapa, achana na wa wengine.
Sema wewe unachokipinga nini?
Mimi ni Muislam lakini hili SIKUBALIANI nalo kabisa. Hapa hoja sio Uislam wa waarabu. najUA WENGI HUMU TUNASUKUMWA NA HISIA ZA UDINI NA UKABILA. Ukwli ni kuwa mkataba wa BANDARI una kasoro nyingi na za hovyo sana. SGR hakuna masharti ya kumili mito na maziwa ya nchi zaidi ya kutenegeneza reli na kulikuwa na muda maalum wa mkataba. Huyu mama ndio amechelewesha kumalizika kwa mradi tofauti na ilivyotakiwa hapo awali.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Isome hiyo post uliyoijibu, kuna nini humo Kilichokufanya uuingize Uislam?Mimi ni Muislam lakini hili SIKUBALIANI nalo kabisa. Hapa hoja sio Uislam wa waarabu. najUA WENGI HUMU TUNASUKUMWA NA HISIA ZA UDINI NA UKABILA. Ukwli ni kuwa mkataba wa BANDARI una kasoro nyingi na za hovyo sana. SGR hakuna masharti ya kumili mito na maziwa ya nchi zaidi ya kutenegeneza reli na kulikuwa na muda maalum wa mkataba. Huyu mama ndio amechelewesha kumalizika kwa mradi tofauti na ilivyotakiwa hapo awali.
Kivuli cha Uwarabu na udini hakiondoi ukweli kuwa huu mkataba nin wa kishenzi na hauna matokeo chanya kwa nchi yetu.
Lazima umuamini mke mwenzaUmeiona mikataba?
Unasema alikuwa nini? Wewe unamuona smart? Kwi Kwi kwi teh teh teh.
Msome mama alisema nini[emoji1484]
Rais Samia: Wakati nakabidhiwa nchi, Bwawa la Nyerere na SGR viliniumiza kichwa
Rais Samia amesema wakati anakabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi, mradi wa bwawa la Nyerere na SGR vilimuumiza kichwa kwa pesa zilizokuwa zinahitajika lakini sasa anazo pesa mpaka za kuifikisha Kigoma. Pia Rais Samia ameahidi umeme kutoka bwawani mapema mwakani. "Kila nikiangalia mapesa...www.jamiiforums.com
Tena mkabata hauzidi hata miaka 5, bandari?Aina ya mkataba ndo shida, sema mapungufu ya SGR na Bwawa ya kimkataba?
Well said apeleke maendeleo kwao Zanzibar sisi hatumtakiSGR na JNHPP hazijauziwa mtu. Wale wamepewa kazi ya ujenzi wa miundombinu ikikamilika wanaondoka.
Huyu kauza bandari yetu kwa waarabu waitumie miaka wanayotaka hadi mwisho wa Dunia.
Leo waziri mkuu kasema sheria ya TPA ya mwaka 2004 inaipa TPA mamlaka ya bandari zote nchini, sasa iweje za Zanzibar hazijahusika na DP World? Wazanzibari wao hawataki ufanisi ama bandari yenye ufanisi mdogo ni ya Tanganyika tu?
Samia na Mbarawa wakauze bandari za kwao, waache bandari zetu.
Samia hawezi kua anaipenda Tanganyika kuliko anavyoipenda Zanzibar na hata yeye alishajutambulisha kama Mzanzibari. Akauze bandari za kwao Zanzibar za kwetu Tanganyika aziache kama zilivyo.
Acha upotoehaji..Magufuri alisainisha kampuni iliyotebder bei ndogo kujenga SGR Dar..Moro...harafu Moro makutopora..na mwanza to Isacka harafu Samia kasaininsha mikataba WA ujenzi Kati ya Makutopora to Tabora na Tabora Hadi Isacka na Tabora Hadi Kugoma..Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Andika vizuri basi ueleweke.Acha upotoehaji..Magufuri alisainisha kampuni iliyotebder bei ndogo kujenga SGR Dar..Moro...harafu Moro makutopora..na mwanza to Isacka harafu Samia kasaininsha mikataba WA ujenzi Kati ya Makutopora to Tabora na Tabora Hadi Isacka na Tabora Hadi Kugoma..
Lakini maikataba yote hii ilikuwa wazi Kwa ni ya ujenzi siyo uwekezaji
Tena mkabata hauzidi hata miaka 5, bandari?
Jinga mkubwa wewe, SGR na Bwawa zimekodishwa?Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?