Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Huo mkataba wa mauziano ni upi na uko wapi?
We nawe usituchoshe na maswali yako ya kipuuzi wakati tunajua target yako ni udini na uzanzibar wenu.
Mbona nyie wazanzibari hamjiamini pamoja na kupewa nafasi kubwa? Always mnajiona mnanyanyaswa au kutengwa wakati mnajinyanyasa na kujiweka pembeni wenyewe?
Mnaishi kwa fadhila na jasho la Bara, hamtaki sii muombe talaka!
 
Acha udini
aliyetaka kukabidhiwa nchi ni Muislam kama wewe?
Ndio rais kwa sasa, na faiza ni ndugu yake mama samia katika imani, pamoja na waislamu wote kwa ujumla ni ndugu, kwa lugha nyingine "MUISLAM NDUGU YAKE MUISLAM"
 

Acha udini
 
Mkataba unahusu wao kujenga bwawa na kua supplier wa umeme kwa mda hadi mda usio eleweka?, ujenzi wa sgr na umiliki kwa mda hadi mda usio eleweka?

Mnatafta pa kupumzikia kwa kusahau msingi wa hoja za waleta maswali
 
Mradi upi ambao haukuchelewa wakati yeye yupo?
 
Mkataba unahusu wao kujenga bwawa na kua supplier wa umeme kwa mda hadi mda usio eleweka?, ujenzi wa sgr na umiliki kwa mda hadi mda usio eleweka?

Mnatafta pa kupumzikia kwa kusahau msingi wa hoja za waleta maswali
Kwani sgr mikataba mingapi aliisaini mwendazake na ilitakiwa iishe lini, na mingapi ilisainiwa kisha ondoka na inatakiwa iishe lini?

Bwawa lilitakiwa liishe lini liliposainiwa mkataba wake?

Subiri mradi wa ujenzi wa bandari ya mazao ya kijani bandarini, mama kishautangaza juzi. Unaanza mara moja kuhakikisha mazao yetu yanyopitia Kenya sasa hivi au yanayoondoka kwa gharama kubwa ya kupakiwa kwenye ndege yanapta bandari yake.

Unafahamu kuwa hivi sasa hivi tayari inajengwa bandari ya mazao ya baharini huko Kilwa?

Kuna mema mengi sana yanafanyika kwenye BBT, ukiwa na macho yasiyoona na masikio yasiyosikia hutoyaona wala kuyasikia.

Utabaki kupingana na ukweli hata wenye manufaa na wewe kwa kujazwa ujinga tu.
 
Shida yako unatanguliza dini kufikiria kuliko kutanguliza akili. Halafu waturuki ni waislamu saaafi ndo maana watanzania huingia kule kutengeneza figure, waturuki hawaishi tamaduni za kiarabu. Nimekaaa uturuki hizi taabu za kufunika nyuso zao kama hawakuumbwa kwa mfano wa Mungu hawapendelei saana.
 
Umeshindwa hoja unaanza viroja. Ndiyo zenu hizo.

Unataka kunilinganisha na wewe usiye na dini? Mimi Muislam na maisha yangu ya kila siku ni Uislam.
 
Umeshindwa hoja unaanza viroja. Ndiyo zenu hizo.
Huna hoja!! Hujui kutofautisha kati ya mpewa tenda ya kutengeneza then anakabidhi ndo analipwa na mnunuaji wa mali za nchi kiholela!!
 
Mdini "unatoa uamzi kwa mlengo wa dini uliyopo na siyo by reality of things"
Anhaa, hukumaanisha Uislam?

Kama hukumaanisha Uislam umekosea sana, mimi ni Muislam na dini kwangu ni Uislam pekee.

Najivunia sana Uislam wangu.
 
Huna hoja!! Hujui kutofautisha kati ya mpewa tenda ya kutengeneza then anakabidhi ndo analipwa na mnunuaji wa mali za nchi kiholela!!
Hiyo ndiyo maana yako ya udini na Uzanzibar? Au una akili za samaki?
 


Ndio maana tunamwambia Mama, kamwe asisikilize kauli za kumkatisha tamaa, asibabaike wala asikubali kuyumbishwa na wanafiki wachache.

Yeye kama Amiri Jeshi mkuu wa Taifa letu lazima awe na msimamo imara kwa masilahi ya watanzania walio wengi, hizo kelele zingine hazina nia njema kwenye uongozi wake zaidi wanataka akwame.
 
Nakwambia ingekuwa patashika nguo kuchanika.
SGR Dar - Moro tuliwanyima wachina tukawapa waturuki waislamu. Angefanya hii Mama Samia sijui wale wakristo wenzangu ingekuwaje
wakristo wenzako wa wapi? Acha ujinga
 
Anhaa, hukumaanisha Uislam?

Kama hukumaanisha Uislam umekosea sana, mimi ni Muislm na dini kwangu ni Uislam pekee.
Na hakuna anayetaka utoke huko!! Alisema udini na Uislamu siyo udini ni dini. Unavyojitapa utafikiri ukihamia kwingne watafaidika saaana kumbe kunguni hakuna impact yoyote
 
Umeshindwa hoja unaanza viroja. Ndiyo zenu hizo.

Unataka kunilinganisha na wewe usiye na dini? Mimi Muislam na maisha yangu ya kila siku ni Uislam.
Mimi sina dini? Acha nicheke kwanza kwa vile nakuelewa misimamo yako na uelewa wako.
Member yeyote wa Boko haram, Alshabab na makundi ya aina hiyo dini kwao sio nyingine zaidi ya ya kwao. Wako radhi kumueliminate yeyote nje ya wanacho amini wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…