Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
We nawe usituchoshe na maswali yako ya kipuuzi wakati tunajua target yako ni udini na uzanzibar wenu.Huo mkataba wa mauziano ni upi na uko wapi?
Mbona nyie wazanzibari hamjiamini pamoja na kupewa nafasi kubwa? Always mnajiona mnanyanyaswa au kutengwa wakati mnajinyanyasa na kujiweka pembeni wenyewe?
Mnaishi kwa fadhila na jasho la Bara, hamtaki sii muombe talaka!