Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Makinikia haikuchukuliwa ya zanzibar, tuache tupambane na mali zetu watanganyika!! Iwe bandari au makinikia vyote vikichukuliwa hupati hasara ww, kikubwa utafaidi mgao wa kuja huko kwenu
Bila Zanzibar utaipata wapi Tanzania?
 
Bila Zanzibar utaipata wapi Tanzania?
HAkina manufaa yoyote kwenye taifa zaidi ya kutunyonya tu. Unachangia nini katka taifa la Tanzania wewe? Au umechangia jina tu ambalo muda wowote linaweza kubadilika kama ilivyo Eswatini sasa hivi
 
Akipiga mruzi kwao Zanzibar wanasikia.
Kwa hiyo unainjoi kwa kuwa ni jirani yako?? Msoga na Zanzibar wapi na wapi hakuna cha kupiga mruzi, ni bara na kisiwani tena zaidi ya km 200 kabisa.
We maza waarabu wana umoja wao we ni cheusi mangara tu acha kujipendekeza kwa waarabu.
 
Akili ndogo ya kuvukia barabara ikijaribu kuchambua na kulinganisha mambo yanayohitaji akili kubwa.
 
Kumbe tatizo lako ni Waislam?
Wewe na baadhi ya waislam wenzako ndiyo mna inferiority complex. Kila rais muislam apatapo urais, akipata challenge ni lazima akimbilie kwenye chaka la udini... ohoo ni kwa sababu ni muislam! Mama Abdul kadanganywa na elimu yake ya kuungaunga, kaingia mkataba wa kijinga kabisa, akikosolewa anakimbilia kwenye chaka la uislam.
 
Anataka kujustify kwamba mkataba wa DPW unapingwa kwasababu wawekezaji hao ni waarabu na waislam.

What a shame.
Na kimsingi watu wanapinga kwa hoja za kimkataba ila wao wanataka ujinga uhalalishwe kisa tu uarabu! Waarabu wenyewe wanao umoja wao na nchi ya huyu dada haimo ila mishipa inavyomkaza kutetea ushubwada ule
 
Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?

Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Faiza Foxy, kama kawaida yenu, wenzako uko Nyamagana - Mwanza tayari wamerudi kwenye fani yenu ya kugombania misikiti. Hivi kweli akili zenu zimegota? Wenzenu katoliki wanafikiria kupanua huduma za shule na hospital nyie mnagombea miskiti na flame za maduka.
 
Yule kichaa angekuwapo, miradi yote hii ingekuwa imeshakamilika. Unafanya maskhara wewe; hakuna mradi uliokwama chini yake. Alikuwa anajua kusimamia watendaji wake, jambo ambalo mama haliwezi na hivyo kuwapo excuses za kila siku. Makamba kusimamia ujenzi wa bwawa lile ilikilikuwa ni kichekeso cha karne. SGR kusimamiwa na Mbarawa ndiyo basi tena; hawa watu hawakuwamo katika kabineti ya kichaa yule kwani aliwapima na kuwaondoa kutokana na madhaifu yao ambayo mama ameyarudisha na kusababisha uzembe na ucheleweshaji wote pamoja matatizo ya miradi hiyo sasa. Angalia jinsi zile flyovers zilivyojengwa in time; hata terminal 3 iliyokuwa imeshakwama wakati wa Kikwete, alipoisimamia ikakamilika.
Excuse na variation za kufa mtu
 
Faiza Foxy, kama kawaida yenu, wenzako uko Nyamagana - Mwanza tayari wamerudi kwenye fani yenu ya kugombania misikiti. Hivi kweli akili zenu zimegota? Wenzenu katoliki wanafikiria kupanua huduma za shule na hospital nyie mnagombea miskiti na flame za maduka.
Nyamagana inahusiana nini na uzi huu?

Au umekosa hoja unahamisha magoli?
 
Nyamagana inahusiana nini na uzi huu?

Au umekosa hoja unahamisha magoli?
Kwanza uzi wako ni wa kimajungu majungu na kibaguzi kwa misingi ya Udini na Uzanzibar. Hii iliyotokea Nyamagana inahusu dini na majungu yenu dhidi ya maendeleo ya dini nyingine hasa katoliki. Nilitaka uone jinsi msivyo wa maana!!
 
Kwanza uzi wako ni wa kimajungu majungu na kibaguzi kwa misingi ya Udini na Uzanzibar. Hii iliyotokea Nyamagana inahusu dini na majungu yenu dhidi ya maendeleo ya dini nyingine hasa katoliki. Nilitaka uone jinsi msivyo wa maana!!
Umekosa hoja unaanza viroja.

Nyamagana wamefungana ngapi ngapi?

Unataka kuhubiri dini wewe hubiri tu, kama unayo hiyo dini.
 
Mbona unachanganya machungwa na mananasi? Bi Kinyogoli Mkwere!

Zile ni tenda tunamchagua nani afanye kazi.

Bandari - Ni Funguo ya lango la nchi

wala hatukatai DPW wakabidhiwe, tusahihishe zile terms. Full stop
Machungwana mananasiyote ni matunda
 
Back
Top Bottom