venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 1,677
- 1,596
Heheaiseee ni changamoto ila siku hz n simple kama umekosea n0# kumbe ndo gear yenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheaiseee ni changamoto ila siku hz n simple kama umekosea n0# kumbe ndo gear yenyewe
Kipindi cha nyuma 1985-2000 simu zilikuwa nadra sana,
Lakin pamoja na uchache wa simu, watu walitia maneno mpaka wenza wao wakawaelewa,
Kwa wale wa juzi juzi mmerahisishiwa kazi sana,
Mtu kipindi hicho anakaa Tabata anamfuatilia msichana wa makumbusho bila hata simu, inabidi apande gari akashuke mwenge atembee mpaka bamaga kwakuwa anahisi msichana yule atapita maeneo yale kama siku alivyomuona akipita nyuma,
Na anamkosa, anaamua kurudi home, kesho yake anatia kambi tena lakin hafanikiwi, hii ilileta hamasa kwamba hata akimpata maneno ni hapo hapo,
Watu wameng'atwa sana na Mbu wakiwasubiri kina Mwajuma wapite njia fulani kisa wameona anapita asubuhi,
Watu wameshinda mtoni wakiwasubiri akina hilda ili wapate nafasi ya kutema yao
Watu wameteseka mno,
Siku hizi wanaume hata kutongoza imekuwa shida neno linalotangulia ni NAOMBA NAMBA YAKE HIYO DADA,
hawana uwezo tena wa kumface mwana mke kumtemea cheche live,
Siku hizi wamerahisishiwa sana , mwanamke akikunyima namba ya simu unamuomba basi anayotumia tigo pesa haha anaachia mara moja
Kabisa nimeupitia nakumbuka mbali.sanahuu uzi ungepewa attention maalum kama ule wa wanywa pombe bhana. kukumbushwa those sweet days of ours...! wapi tena ningekumbuka haya mambo. watoto wa siku hizi hawakutani na heka heka za kukanyaga. miiba, vifutu, kukutana na fisi, mbwa mwitu au wazee wa kazi ukiwa umetoka. kufanya doria la kujitolea au tuote uwindaji wa kile nafsi imenuia ukipate.
mbaya zaidi umuwinde miezi 4 kisha akukate mchana kweupee, ebana eeeh.
ngoja smartphones zije wanamalizana whatsap, insta, sijui fb au text tu kwa gharama ya bando. za 500, saivi wangeishia kukamtwa uzururaji.
Namisi hizo moments aiseMiaka hiyo, wasichana walikuwa na adabu kama unataka kuongea nae unamtuma mtoto wa jirani na kwao huku umempa kimemo ampelekee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ikaishia hapo?kuna mmoja aliitwa n...a alinitaka kwasababu nilikuwa mambo safi akaweka barua mi nikawa sijui, kumbe kuna mwingine anaitwa ja,,,k nilikuwa naonekana kama kutoka naye sasa alikuwa analalamika sana kwamba umuache huyo nimekuonesha hisia zangu hujaona, dah tukakusanya madaftari walimu si wakaona??>??? hatariii
Natumaini umeolewaSiku hizi wanaume hakuna, wote tunajipanga nao foleni kununua chips mayai, wanaume wanasafisha kucha saloon doh, wanaume wanawekwa Heleni,
Mbona ilikua simple
Unachora moyo unaotobolewa na mkuki na vijimaneno vichache unakua umemaliza shughuli.
Siku hzi ni mwendo wa mizinga tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaKule vijijini tulikuwa tunaandika barua tunajificha kichakani tukisubiri binti anapokwenda au kutoka kuteka maji kisimani tunairusha barua njiani uso wa bahasha kwenye anuani yake ukiwa juu, akifika na kuiona anaichukua, ngoma ilikuwa kufuatilia majibu ya hiyo barua
Mi bibi kizee kwa kupenda utoto hasa inapofikisha 28 yrs-30
KumbeEee mkuu....mi nakumbuka kuna mmoja nilikuwaga kila Jumapili naenda kumsubiri njia anayopita anavotoka kanisani
HakkkaTuliteseka sana kwakweli
Mungu ni wa ajabu sana, sisi miaka hii ndiyo tumeivuruga nguvu ya uvutano ya mtu na mtu ya asili, zamani iliwezekana mtu kupata hisia kuwa kuna jambo linanihusu, anaondoka kwake kimatembezi tu na kufika mbele yanatokea unayoyasema hapo juu.Kipindi cha nyuma 1985-2000 simu zilikuwa nadra sana,
Lakin pamoja na uchache wa simu, watu walitia maneno mpaka wenza wao wakawaelewa,
Kwa wale wa juzi juzi mmerahisishiwa kazi sana,
Mtu kipindi hicho anakaa Tabata anamfuatilia msichana wa makumbusho bila hata simu, inabidi apande gari akashuke mwenge atembee mpaka bamaga kwakuwa anahisi msichana yule atapita maeneo yale kama siku alivyomuona akipita nyuma,
Na anamkosa, anaamua kurudi home, kesho yake anatia kambi tena lakin hafanikiwi, hii ilileta hamasa kwamba hata akimpata maneno ni hapo hapo,
Watu wameng'atwa sana na Mbu wakiwasubiri kina Mwajuma wapite njia fulani kisa wameona anapita asubuhi,
Watu wameshinda mtoni wakiwasubiri akina hilda ili wapate nafasi ya kutema yao
Watu wameteseka mno,
Siku hizi wanaume hata kutongoza imekuwa shida neno linalotangulia ni NAOMBA NAMBA YAKE HIYO DADA,
hawana uwezo tena wa kumface mwana mke kumtemea cheche live,
Siku hizi wamerahisishiwa sana , mwanamke akikunyima namba ya simu unamuomba basi anayotumia tigo pesa haha anaachia mara moja
Ni kama embe la kuivishwa kwa kuvundikwa linavyooza harakaNdiyo hata kuvunjika mahusiano ni rahisi sana hakuna msoto ndani ya moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaKipindi cha nyuma 1985-2000 simu zilikuwa nadra sana,
Lakin pamoja na uchache wa simu, watu walitia maneno mpaka wenza wao wakawaelewa,
Kwa wale wa juzi juzi mmerahisishiwa kazi sana,
Mtu kipindi hicho anakaa Tabata anamfuatilia msichana wa makumbusho bila hata simu, inabidi apande gari akashuke mwenge atembee mpaka bamaga kwakuwa anahisi msichana yule atapita maeneo yale kama siku alivyomuona akipita nyuma,
Na anamkosa, anaamua kurudi home, kesho yake anatia kambi tena lakin hafanikiwi, hii ilileta hamasa kwamba hata akimpata maneno ni hapo hapo,
Watu wameng'atwa sana na Mbu wakiwasubiri kina Mwajuma wapite njia fulani kisa wameona anapita asubuhi,
Watu wameshinda mtoni wakiwasubiri akina hilda ili wapate nafasi ya kutema yao
Watu wameteseka mno,
Siku hizi wanaume hata kutongoza imekuwa shida neno linalotangulia ni NAOMBA NAMBA YAKE HIYO DADA,
hawana uwezo tena wa kumface mwana mke kumtemea cheche live,
Siku hizi wamerahisishiwa sana , mwanamke akikunyima namba ya simu unamuomba basi anayotumia tigo pesa haha anaachia mara moja
Tuliteseka sana kwakweli
alafu wengi walisubiriwa wakitoka ama mtoni, dukani au jumapili kutembea maana mara nyingi walikuwa wana majukumu mengi nyumbani au wana kuwa shuleni