Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
kabisa unajitoa muhanga
aiseee ni changamoto ila siku hz n simple kama umekosea n0# kumbe ndo gear yenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa unajitoa muhanga
Ila mlitusotesha aiseee daaaaah nikikumbuka huwa naishia kucheka tuHongera sana kwakupata ulichokusudia na kusotea, maisha ni safari ndefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu inatongozaje yenyewe bila wewe kutia neno? Utafika umtelekezee pesa mwanamke bila kusema maudhui ya hizo hela? Ama unatumia kuwadi?tuliteseka sana tunashukuru simu zimekuja ila kwa sasa pesa inaongea pesa inatongoza
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Vijana wanaogopa matusi, hatongozi mpaka awe na gari, na pesa ya kuhonga mfukoni.
Enzi hizo huko kwetu unatongoza hata kinywa kinanuka, mguuni huna hata kiatu na kaptula imetoboka matakoni na hujali.
Sent using Jamii Forums mobile app
eheeeee na mswaki wa miti vipiVijana wanaogopa matusi, hatongozi mpaka awe na gari, na pesa ya kuhonga mfukoni.
Enzi hizo huko kwetu unatongoza hata kinywa kinanuka, mguuni huna hata kiatu na kaptula imetoboka matakoni na hujali.
Sent using Jamii Forums mobile app
eheeeee na mswaki wa miti vipi
Dharau sasa mkuuSiku hizi wanaume hakuna, wote tunajipanga nao foleni kununua chips mayai, wanaume wanasafisha kucha saloon doh, wanaume wanawekwa Heleni,
hiyo nakumbuka kuna mabinti wawili waliniadhibiwa kisa mmoja kaniandikia barua kaweka kwenye daftari langu alafu takakusanya dah ilikuwa ishu mwalimu akaona
Labda wanaume wa mtaani kwenu, usijumuishe wote bibieSiku hizi wanaume hakuna, wote tunajipanga nao foleni kununua chips mayai, wanaume wanasafisha kucha saloon doh, wanaume wanawekwa Heleni,
kuna mmoja aliitwa n...a alinitaka kwasababu nilikuwa mambo safi akaweka barua mi nikawa sijui, kumbe kuna mwingine anaitwa ja,,,k nilikuwa naonekana kama kutoka naye sasa alikuwa analalamika sana kwamba umuache huyo nimekuonesha hisia zangu hujaona, dah tukakusanya madaftari walimu si wakaona??>??? hatariiiMbaya zaidi kama Mwalimu naye alipatamani hapo ilipotoka barua
Wadada wa zamani... Ulitakiwa ujipange na mistari ya akili LA sivyo anakujazia watu.Unateseka kumvizia njiani week nzima na siku ya kwanza ukibugi unakula matusi.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
huu uzi ungepewa attention maalum kama ule wa wanywa pombe bhana. kukumbushwa those sweet days of ours...! wapi tena ningekumbuka haya mambo. watoto wa siku hizi hawakutani na heka heka za kukanyaga. miiba, vifutu, kukutana na fisi, mbwa mwitu au wazee wa kazi ukiwa umetoka. kufanya doria la kujitolea au tuote uwindaji wa kile nafsi imenuia ukipate.m
mkuu usitunyime story hii aisee
Haha kabisa mi nakumbuka sana nimeteswa sanahuu uzi ungepewa attention maalum kama ule wa wanywa pombe bhana. kukumbushwa those sweet days of ours...! wapi tena ningekumbuka haya mambo. watoto wa siku hizi hawakutani na heka heka za kukanyaga. miiba, vifutu, kukutana na fisi, mbwa mwitu au wazee wa kazi ukiwa umetoka. kufanya doria la kujitolea au tuote uwindaji wa kile nafsi imenuia ukipate.
mbaya zaidi umuwinde miezi 4 kisha akukate mchana kweupee, ebana eeeh.
ngoja smartphones zije wanamalizana whatsap, insta, sijui fb au text tu kwa gharama ya bando. za 500, saivi wangeishia kukamtwa uzururaji.
Hatari mkuu wewe hata mswaki bado
Kabisa.