Nawaza mateso waliopata watu kwa kutongozana kabla simu hazijaja

Nawaza mateso waliopata watu kwa kutongozana kabla simu hazijaja

Nimeandika sana barua...hamna kitu kilikuwa kinauma kama niende posta nikute baba hajalipia sanduku limefungwa. Nadhani home walikuwa hawaelewi kwann nakaa na funguo ya posta
kumbe ishu ilikuwa hiyo nilishangaa mbona mdogo wetu anakomaa na ufunguo wa posta wakati wengine tunakomaa na ufunguo wa gari?
 
Simu zimesadia sana.. Vikwazo vilikuwa vingi sana..kuna vitu vilinipa shida sana..timing ya muda.. makaka wa binti..na majirani kwa umbea.. Sasa hivi unakula Dada wa mshikaji kimyakimya.
hahahah hatari
 
Mimi hii hali ilisababisha nipigwe Sana Na baba yangu alikua akikagua maendeleo ya shulen anakutana Na barua Na kadi za mapenz basi nyumban ikaonekana Mimi nina tabia mbaya kumbe ni namna ya kuhifadhi zile barua sikua nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tupe kisa hicho mkuu je alikukubalia au aligoma?
Nilisotea kwa miaka kadhaa baada ya kuwa kila nikikata tamaa yy ananiibukia na zile za siku hizi unanikaushia sana, bas najisogezasogeza najua yes mambo yanaiva lakini holaaa hadi siku moja nikabahatika kumuona akiendea maji mtoni (ilikuwa kijijini) nikamvizia tukakutana tulibingirika kama robo saa hataki kuachia mapaja wazi aseeeee niliachia bao moja la hewani ova mshale ile shaaaaaaaaa, nikamwacha nikaondoka nikijua ndio bas teena nimemshindwa.


Baada ya muda mrefu kupita siku akamwagiza mdogo wake aje kuniita nikaenda akaniambia twende leo nimekubali mwenyewe sitakusumbua nikawa siamini akasisitiza tukaenda kwenye nyumba moja ilikuwa inajengwa haijaisha tukamalizana kaishia kusema aiii me nlijua panauma kweli kweli kumbe sio sana kiviile, bas ikawa kila wakati ni kutafutana tu
 
Mmoja nilikuwa namvizia kwenye shamba la mihogo wakati anaenda ziwani kuoga na kuchota maji!

kutoka: 22D Arnold st.
 
Back
Top Bottom