Nawaza namna ya kumkataa rafiki yangu ambaye muda wote anawaza mbususu tu

Mm nimemlima mtu bloku baada ya kuniletaa story hzo hzo na kunitumia link za Instagram nitazame matukio anayo yaona huko as if kwamba mm sina Instagram account nikamuambia sitaki kuona link za Instagram haelewi nikam mpa warning ajabu hajabadilika nilichofanya nimemlima bloku kote kote miezi miwili hii hatusalimiani
 
Ooh sawa
 
Nai rafiki yako we ishi nae tu. Kama unajua tatizo lilipo na ww unahisi huendani nae ukishindwa kufanya maamuzi basi ww huna misimamo yako kama mwanaume.
Kibaya ni kutojua tatizo inakua ngumu kumkataa mtu
 
Ww utakuwa unamuentartain huyo jamaa...yeye sio chiz awe anakusimulia vitu ambavyo umsupport.
 
Nakupongeza kuwaza kumkataa maana ni hatua kubwa kwenye maisha yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…