Zuchu siendi fc punguza makasirikoWajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zuchu siendi fc punguza makasirikoWajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
CASMahakama gani unaizungumzia?
Acha utani aisee bila Matangazo na Udhamini mwengine Azam hawezi rudisha hela yake kwa kutumia Vifurushi, Bilioni 250, makamera, wafanyakazi etc ni hela nyingi mno.Sasa yeye Azam ana hasara Gani wakati ameshauza vifurushi Tena kwa bei kubwa kwa watanzania wenzake. Waliopata hasara hapo ni wananchi walionunua vifurushi na wengine kusafiri kutoka mbali kuja kuona mechi hiyo.
Wote tungekua na akili nani angeishabikia simba? Hamna akili nyie mashabiki wa simba kifurahia uongozi wenu kugomea kupeleka timu kwa sababu za kitoto kabisa. Mmewatia watu hasara bado mnakenua meno hapaUtopolo vyura mmemuogopa Elia mpanzu asiwabandue
Bila shaka umeshamaliza kufuturu, au unasubiri daku ndo unirudie?Ngoja nifuturu. Nakurudia wewe
CAF CHAMPIONS LEAGUE fainali Esperance walishawahi kugomea mechi, timu ya taifa ya Nigeria mwaka jana waligomea mechi DSTV walifanya niniTunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo asiwakere waliompa tender.
Pole sana Azam, nia yako ni njema ila waliokupa kazi hawathamini jasho lako.
Mechi kuahirishwa haina athari kwa Azam sio? Hivi nyie mnadhani Azam biashara yake ipo tu kwenye kuuza vifurushi? Yaan akae tu anasubiri kuuza vifurushi kila mwezi ndio itakua big deal kwake. Kuna online streaming, kuna highlight za mechi anauza youtube, hata hao ambao wameshaingia mkataba wa matangazo ya kabla, wakati na baada ya mechi wewe unahisi hela zao ndio zimeenda hivyo hivyo lazima makubaliano yapo ikitokea incidence kama hizi,Azam kama mrusha matangazo hajapata hasara, wananchi waliolipia vifurushi na makampuni yaliyopeleka matangazo yao ili yarushwe wakati wa mechi ndio wamepata hasara na pesa hairudishwi.
Mechi kuahirishwa haishushi brand ya Azam labla kama wao ndo mana walishindwa kurusha na sio vinginevyo mana sio mara ya kwanza kuonyesha derby.
Tangazo moja pale wakati wa mechi ya derby n 2M+
Mmekariri wanaofuturu ni waislamu peke yao. Sisi hatunaga daku mdogo wetu.Bila shaka umeshamaliza kufuturu, au unasubiri daku ndo unirudie?
Waligomea kwa sababu zipi? Wengi mnashindwa kuelewa kitu kidogo sana. Sababu iliyofanya mechi kuahirishwa ni ya kipuuzi hata mtoto wa darasa la saba atakwambia. Kwahiyo sio tu kugomea unagoma kwa sababu gani kuelekea kususia mechi?CAF CHAMPIONS LEAGUE fainali Esperance walishawahi kugomea mechi, timu ya taifa ya Nigeria mwaka jana waligomea mechi DSTV walifanya nini
Ww bado huna akili, hv unaelewa maana ya maneno yaliyo nje ya uwezo wetu? Hy incident Ingekuwa hasara kwa Azam kama wao ndo wameshindwa kurusha matangazo na sio team au TFF kuahirisha mechi.Mechi kuahirishwa haina athari kwa Azam sio? Hivi nyie mnadhani Azam biashara yake ipo tu kwenye kuuza vifurushi? Yaan akae tu anasubiri kuuza vifurushi kila mwezi ndio itakua big deal kwake. Kuna online streaming, kuna highlight za mechi anauza youtube, hata hao ambao wameshaingia mkataba wa matangazo ya kabla, wakati na baada ya mechi wewe unahisi hela zao ndio zimeenda hivyo hivyo lazima makubaliano yapo ikitokea incidence kama hizi,
unadhani kwa wakati mwingine biashara inaweza kuwa sawa kama matukio kama haya inaweza pelekea kukosa wadhamini. Sasa wewe akili yako imekaa tu kwenye kuuza vifurushi si angekua ameshafunga biashara kitambo karudi zake Oman kuvua samaki.
Kheeee..!!! Unadhani maandalizi yake hayana gharama???Sasa yeye Azam ana hasara Gani wakati ameshauza vifurushi Tena kwa bei kubwa kwa watanzania wenzake. Waliopata hasara hapo ni wananchi walionunua vifurushi na wengine kusafiri kutoka mbali kuja kuona mechi hiyo.
Nadhani hakuna mtu anayepinga Azam kupata hasara, ila tunaangalia hasara kubwa ipo kwa nani kati ya Azam na wengineo, Azam hana hasara kubwa.In business wise
Hii match imeleta hasara sio tu kwa wananchi Ila hata kwa Azam .
Kuna Ambao wansema Azam tayari ameshapata hela yake
Jibu ni hapana kapata hasara isipokuwa hawezi kuongea. Wala kulalamika kwakuwa anaijua vizuri serikali ya Ccm.
Njia anzotumia Azam kuingiza pesa Sio kuuza Vingamuzi tu.
Ila kupitia online , kupitia matangazo ya wadhamani n.k
Na kupita huko na anapata Good prophet.
Ni ukosefu wa uelewa wa baadhi ya waswahili kutokujua mnyororo wa thamani katika Biashara.
Unfortunately nchi imebarikiwa low thinkers wengi ambao huwa hawaangalii mambo kwa upana wake zaidi ya kukurupuka.
Kwa taarifa yako, mm nafanya kazi Azam tv.Mmekariri wanaofuturu ni waislamu peke yao. Sisi hatunaga daku mdogo wetu.
Acha kukurupuka tena hizi biashara ni zaidi ya uonavyo, tafuta maafisa masoko, maafisa biashara, wanasheria, wahasibu na hata ma PRO wa mataasisi mbalimbali wakueleze mziki ulivyo kuendesha taasisi hasa hizi binafsi ilivyo mtiti.
Azam kama mrusha matangazo hajapata hasara, wananchi waliolipia vifurushi na makampuni yaliyopeleka matangazo yao ili yarushwe wakati wa mechi ndio wamepata hasara na pesa hairudishwi.
Mechi kuahirishwa haishushi brand ya Azam labla kama wao ndo mana walishindwa kurusha na sio vinginevyo mana sio mara ya kwanza kuonyesha derby.
Tangazo moja pale wakati wa mechi ya derby n 2M+m
Una akili ndogo sana wewe ng'ombeNadhani hakuna mtu anayepinga Azam kupata hasara, ila tunaangalia hasara kubwa ipo kwa nani kati ya Azam na wengineo, Azam hana hasara kubwa.
Kampuni imeshakula pesa za matangazo na mechi haijachezwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wa Azam afu utasemaje amepata hasara? Ingekuwa mechi imefanyika ila Azam hajayarusha ndo angetakiwa kurudisha pesa za watu mana kurusha matangazo yapo ndani ya uwezo wake ila mechi kuahirishwa n nje ya uwezo wake.
😄😄 Nimeipenda sana hii Zuchu FC (Siendi).Zuchu siendi fc punguza makasiriko
Wewe mpumbavu Azam hawez kuajiri takataka kama wewe !Kwa taarifa yako, mm nafanya kazi Azam tv.
Poor Brain em mthibitishie Huyu Fala.
Acha kiherehere kwenye kampuni za wanaume.
Naomba ueleze hasara aliyopata Azam kwa kutoonyesha mpira wa janaTunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo asiwakere waliompa tender.
Pole sana Azam, nia yako ni njema ila waliokupa kazi hawathamini jasho lako.