Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
- Thread starter
- #21
Acha ubishi
Tafuta tiba we mpumbavu hauko sawa..!!
Sawa. Naona unatokwa na povu tu. Sisi mbona hatupaniki hivyo? Tiba ya ugonjwa gani? Unaamini ukiniita mpumbavu nakuwa automatically mpumbavu? Mi nmeshatukanwa sana na nimeshapewa sifa kede wa kede. But sijabadilika hata kidogo. Na enjoy life tu. Nitafute tiba gani au niseme nina ugonjwa gani? Nimeshaonana na madaktari wawili wa saikoloji. Sioni tofauti.