Naweka challenge hapa. Tukubaliane kiasi cha Pesa. Mwanamke akiweza hili nampa pesa yake

Naweka challenge hapa. Tukubaliane kiasi cha Pesa. Mwanamke akiweza hili nampa pesa yake

Bwabwa umekasirika unatoa povu sehemu zako zote za wazi. Nyie huwa ndo mnapenda mhongwe pakubwa. Mi nikitoa hata Milion 1 si ni yangu? We unaumia nini? Unakopwa? Kuwa punga si ulitaka mwenyewe? Una dada mzuri mlete utapata pesa kupitia yeye.


Punguza mihemko! Elewa neno Nje ya Mada, Stupid! Usikurupuke

Tho nimemjibu kiumbempole kwa kauli yake "Kumbe hata hela zenyewe ni chinjo hivyo, ndio maana huwa unapata mademu wabovu."
 
Wanawake kuweni makini na wanaume mnaoingia nao kwenye mahusiano, wengine matatizo yao ya akili ni makubwa mno

Ndo mmeamua kuambiana hivyo? Wewe mwanaume wako na wewe mwenyewe mlipimwa akili? Wanawake wa siku hizi kichefu chefu sana... Haya bibie.
 
Punguza mihemko! Elewa neno Nje ya Mada, Stupid! Usikurupuke

Tho nimemjibu kiumbempole kwa kauli yake "Kumbe hata hela zenyewe ni chinjo hivyo, ndio maana huwa unapata mademu wabovu."

Sasa wewe bwabwa una uzuri gani? Bora nipate demu mbovu lakini siyo kula bwabwa
 
Tafuta wenye nyota shingoni....sio begani... Vyombo vyao waoshea misk na karafuu... Sekunde tu itaitika wanakuja...

Vanity of vanities....all is vanity.

Hawa wanapatikana wapi kwa hapo Tanzania? Nakuja next week
 
Unafaidika nini?
Unapoteza muda
Kwa nini usiwekeze hizo hela kwenye biashara?
 
Back
Top Bottom