Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

Mbumbumbu C-mbwa SC hiyo ndo kazi yenu, kila mkilala mnamuota Yanga!
 
Yanga inapita kilaini sana kwa hao wasudan kwa sasa hakuna wakuisumbua yanga.
Nyie wasubirieni hao de agosto na mtapigwa nje ndani hamtaamin
Msiseme sijawaambia... Jiandaaeni kisaikolojia....Waombeni ushauri AZAM FC maana wao angalao haya mashindani wameshiriki mara nyingi kuliko nyinyi....Haya....shauri yeni...endeleeni kushupaza shingo...mtaja vunjiaka...
 
KAma ni rahisi ingia Robo fani za CAF mara tatu na wewe.....

Ni bora muanze kujiandaa kisaikolojia na michuano ya Confederetation mapema...
Malengo yao ni kufika makundi, yaani hata kufikia level zetu za robo hawawezi
 
Mi naongeza laki 6 inakuwa million yanga mwisho ilikuwa kwa wahadzabe wa sudan hapo hatoboi kama zalan tu kamtoa jasho mpaka waende vyumbani wakapewe ushauri na mganga.
 
Sema mshikaji wangu OKW BOBAN SUNZU kila akitabiri lazima iwe vice versa.

Alianzisha uzi wa Mayele vs Kibu akapigwa na kitu kizito.

Akaja kusema kua Yanga wamepigwa kwa Azizi ki..

Ngoja tuone na hii betting yake ya laki 3.
Inawezekana anajichulia na timu lake la kuunga unga 🤣
 
Mi naongeza laki 6 inakuwa million yanga mwisho ilikuwa kwa wahadzabe wa sudan hapo hatoboi kama zalan tu kamtoa jasho mpaka waende vyumbani wakapewe ushauri na mganga.
Hizo hela peleka ukajenge ukuta bunju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…