Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Mbumbumbu C-mbwa SC hiyo ndo kazi yenu, kila mkilala mnamuota Yanga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linapokuja suala la michuano ya Africa....blaza....nakutaadharisha Simba ni kitu kingine kabisaaKama nyie wabovu mnajiamini seuze Yanga ambayo inawabomoa kila mara
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Mimi nimewatadharisha mapema...Ni bora akili na saikolojia yenu muanze kuiweka kwenye mashinda ya Shirikisho...Msije kusema sijawaambiaMbumbumbu C-mbwa SC hiyo ndo kazi yenu, kila mkilala mnamuota Yanga!
KAma ni rahisi ingia Robo fani za CAF mara tatu na wewe.....Mna kombe gani zaidi nyeeee nyeee tu
Yaani...aibu naona mimiSafari ya wenzetu ndiyo imeishia hapo !!
Yanga inapita kilaini sana kwa hao wasudan kwa sasa hakuna wakuisumbua yanga.KAma ni rahisi ingia Robo fani za CAF mara tatu na wewe.....
Ni bora muanze kujiandaa kisaikolojia na michuano ya Confederetation mapema...
Msiseme sijawaambia... Jiandaaeni kisaikolojia....Waombeni ushauri AZAM FC maana wao angalao haya mashindani wameshiriki mara nyingi kuliko nyinyi....Haya....shauri yeni...endeleeni kushupaza shingo...mtaja vunjiaka...Yanga inapita kilaini sana kwa hao wasudan kwa sasa hakuna wakuisumbua yanga.
Nyie wasubirieni hao de agosto na mtapigwa nje ndani hamtaamin
Unatutahadharisha umekuwa TMA wewe?!! 😏😏Mimi nimewatadharisha mapema...Ni bora akili na saikolojia yenu muanze kuiweka kwenye mashinda ya Shirikisho...Msije kusema sijawaambia
NApenda msiharibikiweUnatutahadharisha umekuwa TMA wewe?!! 😏😏
Kwa sababu anafia Sudane maana yake msiba utasafirishwaSafari ya wenzetu ndiyo imeishia hapo !!
Malengo yao ni kufika makundi, yaani hata kufikia level zetu za robo hawaweziKAma ni rahisi ingia Robo fani za CAF mara tatu na wewe.....
Ni bora muanze kujiandaa kisaikolojia na michuano ya Confederetation mapema...
Mi naongeza laki 6 inakuwa million yanga mwisho ilikuwa kwa wahadzabe wa sudan hapo hatoboi kama zalan tu kamtoa jasho mpaka waende vyumbani wakapewe ushauri na mganga.Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.
View attachment 2361516
Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.
Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Inawezekana anajichulia na timu lake la kuunga unga 🤣Sema mshikaji wangu OKW BOBAN SUNZU kila akitabiri lazima iwe vice versa.
Alianzisha uzi wa Mayele vs Kibu akapigwa na kitu kizito.
Akaja kusema kua Yanga wamepigwa kwa Azizi ki..
Ngoja tuone na hii betting yake ya laki 3.
Ana kombe gani?Linapokuja suala la michuano ya Africa....blaza....nakutaadharisha Simba ni kitu kingine kabisaa
Hizo hela peleka ukajenge ukuta bunjuMi naongeza laki 6 inakuwa million yanga mwisho ilikuwa kwa wahadzabe wa sudan hapo hatoboi kama zalan tu kamtoa jasho mpaka waende vyumbani wakapewe ushauri na mganga.