Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

Naweka dau laki 3; Yanga hatoki kwa Al Hilal

Yanga inapita kilaini sana kwa hao wasudan kwa sasa hakuna wakuisumbua yanga.
Nyie wasubirieni hao de agosto na mtapigwa nje ndani hamtaamin
Msiseme sijawaambia... Jiandaaeni kisaikolojia....Waombeni ushauri AZAM FC maana wao angalao haya mashindani wameshiriki mara nyingi kuliko nyinyi....Haya....shauri yeni...endeleeni kushupaza shingo...mtaja vunjiaka...
 
KAma ni rahisi ingia Robo fani za CAF mara tatu na wewe.....

Ni bora muanze kujiandaa kisaikolojia na michuano ya Confederetation mapema...
Malengo yao ni kufika makundi, yaani hata kufikia level zetu za robo hawawezi
 
Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.

View attachment 2361516

Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.

Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Mi naongeza laki 6 inakuwa million yanga mwisho ilikuwa kwa wahadzabe wa sudan hapo hatoboi kama zalan tu kamtoa jasho mpaka waende vyumbani wakapewe ushauri na mganga.
 
Uje utibiwe akili hapa kwenye Zahanati yenu
IMG-20220919-WA0015.jpg
 
Sema mshikaji wangu OKW BOBAN SUNZU kila akitabiri lazima iwe vice versa.

Alianzisha uzi wa Mayele vs Kibu akapigwa na kitu kizito.

Akaja kusema kua Yanga wamepigwa kwa Azizi ki..

Ngoja tuone na hii betting yake ya laki 3.
Inawezekana anajichulia na timu lake la kuunga unga 🤣
 
Mi naongeza laki 6 inakuwa million yanga mwisho ilikuwa kwa wahadzabe wa sudan hapo hatoboi kama zalan tu kamtoa jasho mpaka waende vyumbani wakapewe ushauri na mganga.
Hizo hela peleka ukajenge ukuta bunju
 
Back
Top Bottom