Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

Achana naye la sivyo vumilia
 
mkasafishe meno yenu
Kuna hii ya kusukutua na maji ya uvuguvugu yaliyotiwa chumvi mara baada ya kumaliza kupiga mswaki kwa utaratibu unaotakiwa(Dakika 2-3).

Yaani mwenyewe utajisikia kuwa umepiga mswaki!!!!!!! Asubuhi plus usiku haina haja ya mouthwash!!!!!!!!!!!

5 Reasons Why Warm Salt Water Rinses Are Good for Oral Health​


 
Angalau ya pili labda na nikifika nikamwambie daktari kwa siri ampime yeye maana duuh nachoka mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…