Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noma
 
Tumia LAVA aliyoweka jamaa juu hapo kuna ya kila kizibo kimoja na nusu unachanganya Lita moja ya maji mwagia kila Arch kitandani na chumbani kote sumu yake kali inauwa mpaka mayai mbu utaona wamedondoka chini
Bei ni sh ngap
 
Bei ni sh ngap

Watoto wa 90 wanaweza kufikiri hii ilikuwa sindano kwa ajili ya wanyama [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Uliwapata kwenye shule ya bweni au kwenye daladala?? Tehtehteh
Hawa wadudu wengi wanapatikana kwenye dalalala na hz guest bubu za 5000 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utamaliza dawa zote hizo, Dawa yao ni moja tu kuoa tu!OA kijana hawa wadudu huwakumbusha mabachela kuwa time ya useja imekwisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanawakumbusha sio
 
Walio jaribu mbinu hiyo waulize Kilichowakuta, hakuna Wadudu Wanaweza vumilia njaa muda mrefu kama kunguni...hiyo siku utakayorudi ndio Wanafufuka sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna rangi utaacha ona
 
For sure
 
Nunua Nuvan kwenye duka la pembejeo. Ni 100% kunguni killer. Utanishukuru baadae
 
Nashukuru Mungu juzi kuna sehemu nilikaa Akanipandia mmoja, pamoja na kumuua zile nguo sikuingia nazo ndani nilivulia kwenye Bafu la nje Na kuziloweka na maji yamoto...hao wadudu sio poa.
 
Hawa wadudu wengi wanapatikana kwenye dalalala na hz guest bubu za 5000 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukifika Njombe utakuta guest house yenye hadhi na Bei ya juu bado Kuna kunguni na chawa. Hasa chawa
 
Sasa mnataka hizo parasites zile Nini nawakati main diet yao Ni human blood! Halafu haziambukizi maradhi Kama mbu!

Acheni nature ifanye kazi yake,huko kuchemsha maji na ma akheri powder Ni ku break laws of nature!
 
Pia wewe kumuua yeye ndio nature yenyewe ushawai ona prey anakubali kuliwa na predator tu kirahisi
 
Pia wewe kumuua yeye ndio nature yenyewe ushawai ona prey anakubali kuliwa na predator tu kirahisi
Ukisema unamuua kunguni pasipo kupata mlo wowote kwake unasemaje Ni nature inafanya kazi!

Manake hata Simba haui prey bila sababu Ni kwaajili ya mlo!

Ili na yeye afe aliwe either na fisi au microorganisms!

Ukimuua kunguni una play part gani kwenye ecology zaidi ya kupunguza miwasho tu!!

Tatizo binadamu hatupendi hata vikero vidogo vidogo!!
 
Huu ubovu wa keybord unaninyima uhuru sana

Yaani simba akitaka muua nyati kwa msosi nyati anaturn kutaka kumua simba ili kujirinda

Sisi ni prey kwa kunguni tunauwa kunguni kama nyati ana;

Natural hakuna prey anakubali kuliwa na predator ni hitajio la kila prey kumuuwa predador for their prote

Sasa swala ajapewa uweo huwo kumuua simba nyati kidogo kspewa binadamu kapewa full ndio maana utaposikia simba kala mtu huyó kifo kinamuhusu kaingilia spishi yenye full power ya kiji protekti

Keyborad mbovu nimejitahidi
 
Pamoja mkali nilitaka kuku challenge kidogo!
 
Walio jaribu mbinu hiyo waulize Kilichowakuta, hakuna Wadudu Wanaweza vumilia njaa muda mrefu kama kunguni...hiyo siku utakayorudi ndio Wanafufuka sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna rangi utaacha ona
labda urudi nao
 
Maji ya moto tu..zingine mbwembwe tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…