ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,197
UnawazA that means tayari upo nae kwenye mahusiano au ndo unataka kukurupuka kuoa bila kujali lolote kisa kaka yako anapata matunzo mazuri kwa shemeji yako basi na wewe unataka ukayapate kwa mdogo wake.
Ndugu wawili wanaweza kuwa na tabia tofauti.Jifunze zaidi kutongoza labda mawazo yako yatapotea siku moja.Maana unachokifanya ni kutaka kuleta mjadala wa kifamilia ambao hauna ulazima.
Ndugu wawili wanaweza kuwa na tabia tofauti.Jifunze zaidi kutongoza labda mawazo yako yatapotea siku moja.Maana unachokifanya ni kutaka kuleta mjadala wa kifamilia ambao hauna ulazima.