Naweza kuoa mwanamke kutoka nyumba alipooa kaka yangu?

Nyie mashemeji huwaga nuksi sana huoni pengine unakomalia kwa kaka yako tu

Hebu acha kula ugali wa shemeji yako toka ukatafte kwako utawaona wengi tu acha habari za kusema moyo umedondokea.
 
Nina shughuli zangu mbona mkuu
 
Naona ni muda muafaka sasa wa kuanza hatua za awali za kuposa
 
Back
Top Bottom