Naweza kuoa mwanamke kutoka nyumba alipooa kaka yangu?

UnawazA that means tayari upo nae kwenye mahusiano au ndo unataka kukurupuka kuoa bila kujali lolote kisa kaka yako anapata matunzo mazuri kwa shemeji yako basi na wewe unataka ukayapate kwa mdogo wake.

Ndugu wawili wanaweza kuwa na tabia tofauti.Jifunze zaidi kutongoza labda mawazo yako yatapotea siku moja.Maana unachokifanya ni kutaka kuleta mjadala wa kifamilia ambao hauna ulazima.
 
Nashukuru sana mkuu, nitafanya hivyo
 
Ndo nataka kuona kama inawezekana, na nimeona ni busara kuuliza kwenye hili jukwaa lililojaa watu wenye mitizamo na fikra tofauti tofauti
 
Kwani kaka yako anasemaje? Na Hugo shemeji yako anasemaje? Maana tusije ongea kumbe hao hawana hata wazo na wewe
Wana wasi wasi na mimi pengine nipo kwenye mahusiano na shemeji na huenda nisioe
 
Hivi ukienda dukani ukinunua soda utataka uionje ndo ununue au unanua kisha utaonja ukishalipia ?
Miaka yote soda ufanana ndio maana hatuonji lkn ile dah!, kwan uliwahi kunywa soda ukakuta ina maji mengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…