Naweza kuoa mwanamke kutoka nyumba alipooa kaka yangu?

Miaka yote soda ufanana ndio maana hatuonji lkn ile dah!, kwan uliwahi kunywa soda ukakuta ina maji mengi?[\b]

Hujawahi kunywa soda za buguruni wewe
 
Nyie mashemeji huwaga nuksi sana huoni pengine unakomalia kwa kaka yako tu

Hebu acha kula ugali wa shemeji yako toka ukatafte kwako utawaona wengi tu acha habari za kusema moyo umedondokea.
 
Nyie mashemeji huwaga nuksi sana huoni pengine unakomalia kwa kaka yako tu

Hebu acha kula ugali wa shemeji yako toka ukatafte kwako utawaona wengi tu acha habari za kusema moyo umedondokea.
Nina shughuli zangu mbona mkuu
 
Naona ni muda muafaka sasa wa kuanza hatua za awali za kuposa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…