Naweza kuomba uhamisho wa ndani ya Halmshauri bila ya kuthibitishwa kazini?

Wababa13

Senior Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
105
Reaction score
70
Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023

Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
 
Huwez kupata hata ukipata wa kubadilishana nae, hadi uthibitishwe
 
💯 Yes.

Sasa hiyo si sawa tu na kuhama eneo lako la kazi kwenda jingine.

Ni process ya siku moja tu, Tena masaa.

Nenda tu kwa Mkuu wako wa idara, mwambie. Anakuandikia barua tu ya kwenda kwenye kituo chako kipya.
 
[emoji817] Yes.

Sasa hiyo si sawa tu na kuhama eneo lako la kazi kwenda jingine.

Ni process ya siku moja tu, Tena masaa.

Nenda tu kwa Mkuu wako wa idara, mwambie. Anakuandikia barua tu ya kwenda kwenye kituo chako kipya.
Asante sana kwa Ushauri, nitafanyia kazi.
 
Unaweza nenda kwa Deo
 
kazi umepata umeanza mbwembwe
 
wapi huko kwenye machifu
muone afisa utumishi atakusaidia rafiki
 
Uhamisho wa ndani ya halmashauri una wezekana, ila wakutoka nje ya halmashauri ndio una mashart mengi hasa ukiwa unaomba wewe binafsi

Ila kama serikali yenyewe ikitaka tu unaamishwa kwenda popote nchi kufanya kazi (NB: ila kwa taratibu na mamlaka waliyonayo wenye mamlaka ya kufanya hivyo)

Ukicheza unaweza poteza kibarua, hizo kesi za ardhi zina ondoa watu maofisini. Na moja ya matatizo makubwa ktk vijiji ni migogoro ya ardhi, kwa kuwa ndio rasilimali pekee wanayo itegemea ktk uzalishaji mali

Kama kilimo, ufugaji nk...!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…