Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakutaki na hujawafanya chochote kabisa?Duh sasa inakuwaje kama Wana-Kijiji hawakutaki kwasababu zao binafsi na Viongozi wao wanaeneza chuki juu yako Mtendaji wa Kijiji
💯 Yes.Habari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023
Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
Asante sana kwa Ushauri, nitafanyia kazi.[emoji817] Yes.
Sasa hiyo si sawa tu na kuhama eneo lako la kazi kwenda jingine.
Ni process ya siku moja tu, Tena masaa.
Nenda tu kwa Mkuu wako wa idara, mwambie. Anakuandikia barua tu ya kwenda kwenye kituo chako kipya.
Unaweza nenda kwa DeoHabari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023
Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
Hujatafuna mademu?Sijawafanyia chochote ndugu.
Why wasikutake? umewafanyia hila ipi hadi chuki ikakua kubwa kiasi hicho?Duh sasa inakuwaje kama Wana-Kijiji hawakutaki kwasababu zao binafsi na Viongozi wao wanaeneza chuki juu yako Mtendaji wa Kijiji
Hakuna chuki bila sababuHujatafuna mademu?
Sema tu ukweli, umewafanya nini? Au umeenda huko ukafuga kitimoto kwa wenzetuDuh sasa inakuwaje kama Wana-Kijiji hawakutaki kwasababu zao binafsi na Viongozi wao wanaeneza chuki juu yako Mtendaji wa Kijiji
kazi umepata umeanza mbwembweHabari ya muda huu wadau na Heri ya Mwaka Mpya 2023
Samahani nauliza ivi Mtumishi wa Umma unaweza kuomba uhamisho wa ndani mfano toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine na huku bado haujathibitishwa kazini ndani ya Halmshauri iyo iyo unayofanyia kazi?
wapi huko kwenye machifuHapana ndugu yangu, sio chanzo icho.. wala uko mimi sipo
Ilikuwa ni kuwaelewesha wananchi kuhusiana na Sheria na Miongozo ya Serikali.. sasa ikaonekana kuwa mimi napinga taratibu zao walizojiwekea ambazo zipo Kinyume na Serikali, mfano Ardhi ya Kijiji inagawiwa na Serikali ya Kijiji sasa wao wanaforce Chifu awe anagawa Ardhi alafu mimi VEO naandika barua ya Kuthibitisha kuwa ni kweli Chifu amegawa ardhi ivyo ni kama namtambulisha mtu aliyepewa ardhi ya Kijiji Kinyume na sheria.. ndugu yangu nikaanza kushambuliwa kana kwamba mimi napinga mila zao akati akati Sheria ya Ardhi ya Vijiji no 5 ya 1999 haizungumzi kuwa Chifu anagawa Ardhi, bali Kijiji ndo kilichopewa ardhi kwa niaba ya Rais.. inafikia hatua mpaka Viongozi wa Kijiji wanaanza kuonesha chuki, akati mimi nawasaidia wao kwa kutafsiri Sheria.
Rahisi sana, mwambie mkuu wako wa kazi tu wilayani, watakukubalia uhame kwa gharama zako mwenyewe.Duh sasa inakuwaje kama Wana-Kijiji hawakutaki kwasababu zao binafsi na Viongozi wao wanaeneza chuki juu yako Mtendaji wa Kijiji