Naweza kupokea mzigo kutoka Marekani? Je, kwa njia gani?

Naweza kupokea mzigo kutoka Marekani? Je, kwa njia gani?

Sasa mkuu natapeliwa vip wakati yeye kazi yake ni kutuma tu? Silipii chochote na akisema nilipie situmi kitu kwanza mimi maskini sina ela hata sent
Nimekuuliza kuwa huyo mtumaji ni ndugu yako wa damu?
Maana kuna wale matapeli wa Facebook na Instagram wanatuma then kesho wanakuambia mzigo uko Kenya wasiliana nao . Kisha jamaa wanakupiga ya chap.
Mambo ya diplomatic parcel
 
Mzigo utakuja moja kwa moja adi nilipo ndo maelekezo yake hakuna mambo ya kenya,
 
Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante.

Your package contains
26000/USD money
4 coverage cameras
2HP computer set
6toshiba laptops
5 iPads
5 Iphone
25 samsung tabs
2black berry smartphone
5 golden watchs
18 Jowereries
18 photos of my self
9 T-shirt having USA map
6 power banks 3000vlts
Umekutana na matapeli wanataka kukupiga. Watanzania hamjifunzi kila siku njia ile ile. Bila shaka ulikutana naye facebook. Baadaye watakwambia mzigo umefika nchi karibu na tz sasa 8nabd ufike tz ila gharama za kuutoa pale utume wewe.
 
Nimekuuliza kuwa huyo mtumaji ni ndugu yako wa damu?
Maana kuna wale matapeli wa Facebook na Instagram wanatuma then kesho wanakuambia mzigo uko Kenya wasiliana nao . Kisha jamaa wanakupiga ya chap.
Mambo ya diplomatic parcel
Devices alizolist ndo nilizowahi kupewa list yake. Huyu ndugu yetu tunamuuliza maswali muhimu anahisi kama tunamchora.
 
Umekutana na matapeli wanataka kukupiga. Watanzania hamjifunzi kila siku njia ile ile. Bila shaka ulikutana naye facebook. Baadaye watakwambia mzigo umefika nchi karibu na tz sasa 8nabd ufike tz ila gharama za kuutoa pale utume wewe.
Hapana hajasema hivyo
 
Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante.

Your package contains
26000/USD money
4 coverage cameras
2HP computer set
6toshiba laptops
5 iPads
5 Iphone
25 samsung tabs
2black berry smartphone
5 golden watchs
18 Jowereries
18 photos of my self
9 T-shirt having USA map
6 power banks 3000vlts
Kuwa makini P Diddy ana mbinu nyingi sana 50 Cent alipigwa ofa ya shopping akastuka.
 
No body will send to you something you are going to be trapped.

Hao ni vijana wenzako waliomaliza chuo they are trying to dig something from the empty box. (Mind)
 
Endapo mzigo wako ukifika Tz,andaa sio chini ya 5M kwa jamaa wa TRA.
La sivyo vitu vyako vitaenda kutumiwa na mafisadi.
Lakini sio rahisi rafiki wa online akitumie vitu vyote hivyo bure labda kama ni P diddy mwenyewe!!
 
Back
Top Bottom