Naweza kupokea mzigo kutoka Marekani? Je, kwa njia gani?

Naweza kupokea mzigo kutoka Marekani? Je, kwa njia gani?

Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante.

Your package contains
26000/USD money
4 coverage cameras
2HP computer set
6toshiba laptops
5 iPads
5 Iphone
25 samsung tabs
2black berry smartphone
5 golden watchs
18 Jowereries
18 photos of my self
9 T-shirt having USA map
6 power banks 3000vlts
Kwa vitu vizito heavy kilo kama 40 kuendelea Silent ocean.

Kwa vitu vyepesi kilo kadhaa muone Mwl.RCT ama unaweza uka tumia parcel forwarder kama Shop and ship, Myus etc sema hao parcel forwarder uwe unajielewa haukawii mzigo kukwama Airport.
 
Mzigo utakuja moja kwa moja adi nilipo ndo maelekezo yake hakuna mambo ya kenya,
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣 kesho mapema tu utatumiwa sms ya jamaa yuko Jomo Kenyatta Airport.
Jamaa wataku pritntia risiti nzuri na kukuambia ukachukue mzigo wako ndani ya masaa 12 kwakuwa ni diplomatic parcel na si business parcel.
Acha umalaya, maana huo mtego wanaingiaga vijana wamalaya huko Facebook.
Eti mzungu ananipenda
 
Sawa
 
Endapo mzigo wako ukifika Tz,andaa sio chini ya 5M kwa jamaa wa TRA.
La sivyo vitu vyako vitaenda kutumiwa na mafisadi.
Lakini sio rahisi rafiki wa online akitumie vitu vyote hivyo bure labda kama ni P diddy mwenyewe!!
Kwani anakua hajalipia kabisa? Mbona kasema nikiupata nimwambie?
 
Sawa

Kwani anakua hajalipia kabisa? Mbona kasema nikiupata nimwambie?
Atalipia TRA huko Marekani?
Mizigo/vifurushi vyote hulipiwa kodi baada ya kufika na kukaguliwa na maafisa TRA.
Hakuna mzigo hapo huyo mtu wako ni nyoko/tapeli anakusomea ramani au anakupotezea muda wako bure.
 
UMEULIZWA NI NDUGU YAKO? ILA INAELEKEA KAMA KUTAPELIWA HIVI. UNA HASIRA JUU YA UKWELI.
 
Atalipia TRA huko Marekani?
Mizigo/vifurushi vyote hulipiwa kodi baada ya kufika na kukaguliwa na maafisa TRA.
Hakuna mzigo hapo huyo mtu wako ni nyoko/tapeli anakusomea ramani au anakupotezea muda wako bure.
Cheki upate uhakika
 
Attachments

  • IMG-20240928-WA0060.jpg
    IMG-20240928-WA0060.jpg
    172.2 KB · Views: 5
Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante.

Your package contains
26000/USD money
4 coverage cameras
2HP computer set
6toshiba laptops
5 iPads
5 Iphone
25 samsung tabs
2black berry smartphone
5 golden watchs
18 Jowereries
18 photos of my self
9 T-shirt having USA map
6 power banks 3000vlts

Tumia shipping agents kama Silent Ocean (watz), Fedex,DHL, UPS....
 
Wakuu ni hii
 
Attachments

  • IMG-20240928-WA0060.jpg
    IMG-20240928-WA0060.jpg
    172.2 KB · Views: 4
Katuma ndege boss sijui nitaupata sehem gani

Hata hao niliokutajia wanatumia ndege, muulize katumia kampuni ipi...

Ili upokee mzigo wowote toka nje unahitaji uwe agent wa kufanya custom clearance...
 
Back
Top Bottom