Naweza kupokea mzigo kutoka Marekani? Je, kwa njia gani?

Kama yupo vizuri tumia usafiri wa anga (ndege) mkuu. Kampuni zipo kibao, kuna fedex, aramex, dhl n.k atalipia freight charges n.k easy, safe and faster.
 
Kuna mshkaji wangu mmoja juzi kati yalimtokea hayahaya, ila kwa bahati nzuri hakuwa hata na mia mbovu lasivyo angeshasaga meno[emoji38][emoji38]
 
Subiri ujionee logo za airport ya Kenya
Full kukuchek wakikusisitiza uufuatilie mzigo wako
 
Kitendo cha kumuamini na kuleta uzi kwa ajili ya ushauri ameshakuibia kwa kuteka akili zako. Nani dunia ya leo anaweza kukutumia vitu vya thamani bure! Kwanza, una elimu gani ya maswala ya mtandao? Shida inaweza kuwa imeanzia hapo.
 
Uyo sio ndugu yako afu ukiulizea maswali kuwa muwazi kwani kuna anaekujuwa, uyo ni tapeli utaambiwa mzigo upo bandarini aya utaenda utapoteza muda na pesa ,wanachukuws detail zako wanaziandika vizuri kama mzembe utoelewa, awa wakenya wangekuwa wajanja wangetafuta mtz mmoja aact kama mtu wa badar au Tiraei
 
Huyu Mtu anayekutumia huo mzigo unamfahamu kwa muda gani sasa?
 
huyu n dk roller puger
 
Sms za wanaijeria hiziiiii. Kuna mtu atapigwa vibaya
 
Hakika huyu anaenda kuliwa kichwa. Mimi mwaka 2007 najiunga fb nakutana na dada anadai yupo kambi senegal n mkimbizi ila baba ake alikufa kaacha pesa nying saana sasa pale kambini hawaruhusiw kuwa na pesa akaniomba namba yang ya akunt ili aniwekee pesa then atoroke aje tz🤣🤣 nilimuangalia nkamwambia mama hapa sina hata mia mbovu unayotaka kunitapeli toka siku hyo fb nmeichukia kwel kweli maana huko ndio kuna matapeli balaa
 
Endapo mzigo wako ukifika Tz,andaa sio chini ya 5M kwa jamaa wa TRA.
La sivyo vitu vyako vitaenda kutumiwa na mafisadi.
Lakini sio rahisi rafiki wa online akitumie vitu vyote hivyo bure labda kama ni P diddy mwenyewe!!
Itakuwa ni PAFU DADIIIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…