Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Muue ili upate amani ya moyo

20230428_015003.jpg
 
Ngoja anyooshwe....si anaitaka mimba na ukimwi kinguvu🤒
Another single mama in waiting.


Wanawake huwa mna extra thoughts linapokuja suala la mahaba.

Zunguka bucha zoote, lakini gegedo ni lile lile🤣... bibie kafa kaoza anatafuta hoja za kumfariji humu ili asongembele na jamaa yake aliyebeba kifo chake mkononi
 
nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho nikawa naomba misamaha bas tuyajenge lakini mnajua mumivu ya kua ignored? hakuna majibu, sijjibiwa chohote nikajiongeza mtoto wa kike nikaendelea na maisha yangu, mwanzoni niliishi kwa tabu sababu bado nilijua kuna siku atanitafta ilipofika mwaka nikasema huyu si wangu tena.

nikaendelea na maisha yangu, et baada ya ten good fucking years huyu kiumbe amerejea with a just simple excuse, jaman sijalala nina hasira mpaka muda huu nawezaje kuondoa kinyongo nawezaje, najua utasoma hii thread, kinachoniumiza ni kuona naonewa mwenzenu, i tried to search a version of him kwa watu ambao nimekutana nao baada yake, hakuna aliemfikia, he was so special lakini kwa alionitendea sina ham naye

D, nilikupenda ukanilipa unayostahili, ni heri usingejileta umenifanya napata flashbacks kibao najitahidi kukusahau lakini nashindwa kinachoishi moyon mwangu ni hasira na chuki, nawezaje kuondoa hii hali wenzangu nisaidieni.
Hebu tueleze hizo version tujfunze tuendako dada etu
 
Amekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote 😏
Unaonekana unapenda kunyoosha mstari😀
 
Kuna wakati katika mahusiano inahitaji uwe jasiri,katili na uwe na msimamo usikubali wewe uwe na maumivu ila kupitia wewe mwenzio awe na furaha,Si kila kitu ambacho moyo kinapenda lazima ufanye huyo kiumbe safari hii anakupa Usingle Mama kama zawadi kisha anasepa mazima.
 
Back
Top Bottom