Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Amekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote [emoji57]
Kazi ipoooo.
 
Amekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote 😏
hahahah we umeshindikna kwakweli.
 
ASipokubali hii basi tena
Kibaya zaidi kaishi muda wote huo akiwa anamsubiria, nmesema anamsubiria kwa sababu bado ana hasira na kinyongo, kambeba miaka yote hiyo hatimaye D amerudi.
Katika kipindi anapaswa kuwa makini kimaamuzi ni hiki vinginevyo ajitoe muhanga liwalo na liwe ili auridhishe moyo.
 
kilichonifanya niumie yan the way mtu aanakubwaga bila sababu of course najua hanistahili hata hivo nimebeba ushaur wako
 
Amekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote 😏
hivi unajua hatukuwah kukutana kimwili?
 
Kuna msemo unasema"Muda haubadilishi mtu bali unasaidia kujua mtu vizuri"

Naamini huyo kijana unampenda balaa ameuteka moyo wako balaaaa ila tambua mtu anapoamua kukuacha kuna sehemu ameona kuna unafuu..

Nikivuta picha Mda wote aliokuacha ulitakiwa kumsamehe na kuendelea na maisha YAKO (Forget and forgive) unapompa nafasi wakati alikuacha na maumivu Mda wote ni nafasi nyingne ya kumpa uhuru kufanya atakalo kuwa makini....

Cha muhimu tuliza kichwa,futa details zake na omba Mungu akuonyeshe mtu sahihi kwako

KICHWA chako ndio mtaji wako Fanya maamuzi magumu leo KWA manufaa makubwa baadae
 
Back
Top Bottom