Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hamna mkuu pole uwe makini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mkuu pole uwe makini
huyo ni chizi maarifa asiependa kuona watu wawili wanapendana ni aina ya kidudu mtu fulani anajieka smart but he aint that smart!!Jamaniii hawa member wa zamani si wanasema ya mwanzo jf ilikuwa haina vijana wa hovyo imekuwaje tena 😁😁😁😁
Naona codes zinafongoka, ooh hallelujah 😅Jamaniii hawa member wa zamani si wanasema ya mwanzo jf ilikuwa haina vijana wa hovyo imekuwaje tena 😁😁😁😁
Hakuna mwanamke anazaliwa cold hearted, ni wazi sisi wanaume ndio sababu ya yote hayo. Una kuta demu kapigwa matukio huko nyuma, ukikutana nae ww leo anakuwa keshakuwa sugu hahah.🤣🤣Tunachoka🤒
Sasa kama hukuliwa mkaunganisha nafsi zenu huo uchungu miaka 10 ulitokana na nini??kuliwa? halikutokea kabla unadhani litatokea baada?
niko makini sana sana, siwez kuumia mara mbili you know,Hamna mkuu pole uwe makini
ni bora uwe umemkosea mtu ukaua umemkosea yan ukalitambua kosa lako,Sasa kama hukuliwa mkaunganisha nafsi zenu huo uchungu miaka 10 ulitokana na nini??
I dont knw ila nashangaa unaumiaje 10 yrs na hamkukulananiko makini sana sana, siwez kuumia mara mbili you know,
Kwahiyo me sikuhizi nakula ma manzi ama unataka kusemaje we mzungu? 🙂
🙆🏾♀️🙆🏾♀️Yaani una maanisha mtu mzima hovyo wa kongwe Jf mkuje 😁😁huyo ni chizi maarifa asiependa kuona watu wawili wanapendana ni aina ya kidudu mtu fulani anajieka smart but he aint that smart!!
kisa kilikua cha kitoto sana sitaki kukisema hapa ambacho mimi nilihusika tu kuweka pic yake kama profile halaf kunae huyo mtu kimbelembele akatia fitna ni mwanaume ujueI dont knw ila nashangaa unaumiaje 10 yrs na hamkukulana
ni bora uwe umemkosea mtu ukaua umemkosea yan ukalitambua kosa lako,
Achana nae ila kama hakuna kilicho happen mpotezee hakukuelewaid yake sjajua anaitwaje, ila nje ya jf jina lake linanza na d
Kivumbi leo😁😁😁Naona codes zinafongoka 😅
yeah bold and underline🙆🏾♀️🙆🏾♀️Yaani una maanisha mtu mzima hovyo wa kongwe Jf mkuje 😁😁
Yule mliokorofishana alikuwa ni D nini 🤣kina D wengi ni waajabu ajabu sorry to say this. Sio wakiume sio wakike
Pole labda alikuwa anakutakakisa kilikua cha kitoto sana sitaki kukisema hapa ambacho mimi nilihusika tu kuweka pic yake kama profile halaf kunae huyo mtu kimbelembele akatia fitna ni mwanaume ujue
😂😂😂😂 chinekeetena wewe unyamaze wewe ndio sababu ya yote haya au unataka nikukumbushe ukichokifanya, kaa mbali
Leo ni leo na hivi ni holiday watasema yote bado hawajasema😂Kivumbi leo😁😁😁