mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,536
- Thread starter
- #121
sio wwKirefu cha D ni Da'Vinci
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio wwKirefu cha D ni Da'Vinci
Kawa mbuzi tena mbona ghafla 😂sasa ndio huyo d et akanuna baba zima na ndevu zake kaa mbuzi maisha haya
Huyu ingetokea ameliwa basi angeenda hata kulipua mabomu pale JF HQ, maxence melo angeshitakiwa kwa kuanzisha jf, yani kwa ufupi member wote wa jf tungepata tabu sana imagine hizi hasira huyo mtu hata hawakuwahi kuonana physical, nyieee!Inashangaza hayo ndio matumizi mabaya ya upendo, unaumia for 10yrs kweli amezikosea sana hisia zake.
Eti? Kama hajaila ni sekunde 2 tu zinatosha kumsahau kama ana exist.Sasa mtu hata hajakula papuchiii amekuumizaje naweeee!(in baba levo's voice)
mamaafacebook IIid yake sjajua anaitwaje, ila nje ya jf jina lake linanza na d
😂😂kuna binadamu wanapenda vibaya mno. Au mwamba alikua vizuri kutuma na yakutoleaHuyu ingetokea ameliwa basi angeenda hata kulipua mabomu pale JF HQ, maxence melo angeshitakiwa kwa kuanzisha jf, yani kwa ufupi member wote wa jf tungepata tabu sana imagine hizi hasira huyo mtu hata hawakuwahi kuonana physical, nyieee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Huyu ingetokea ameliwa basi angeenda hata kulipua mabomu pale JF HQ, maxence melo angeshitakiwa kwa kuanzisha jf, yani kwa ufupi member wote wa jf tungepata tabu sana imagine hizi hasira huyo mtu hata hawakuwahi kuonana physical, nyieee!
NakaziaaaWatu wanaoowaacha wenzi wao kwa nyodo kama zote alafu badae wanarudi huwa siwaelewi. Hii ni dharau iliyovuka mipaka watu wa hivi hawastahili kabisa nafasi ya pili. Achana nae huyo hakufai.
Ataenda kujiliza leo na ata-to-mbwa tena. Ndivyo ilivyoJichekeshe na wewe vunga ka nothing happened afu mpotezee mazima
Unyama unyamani 😁😁😁
Kama yule mmiliki wa kluger wa kule moro townAmekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote 😏
Mwelekeo wa uzi nahisi utakuwa mchungu🙆🏾♀️🙆🏾♀️Yaani una maanisha mtu mzima hovyo wa kongwe Jf mkuje 😁😁
Anasubiria safari hii amjaze mimba asepe!😂😂 duh umevurugwa ila ndio uhalisia huo. Mwamba atampiga tukio alafu asepe
hahahaha usinichekesheKawa mbuzi tena mbona ghafla 😂
Msamehe endelea na maisha yako
Kwema mkuuMwelekeo wa uzi nahisi utakuwa mchungu
et ehAnasubiria safari hii amjaze mimba asepe!