Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Hiyo D ni initial ya ID yake au ndio jina lake? Tunataka tuanze kufukunyua mkuu.

Hii ID ya mamaafacebook ilipotea sana, kumbe ililizwa na mwamba wa jf.

Watu tuna dhambi nyingi sana.
d ni jina lake halisi alibadili id sjajua hio id mpya hata hivyo ngoja niendelee tubna maisha yangu
 
Shida ya haya mambo bn hayana mbabe, tunaweza kukusahauri hv lkn moyo wako unataka vingine ila akili yangu inaniambia ni suala la mda tu unaelekea kibla
hapana haitatokea na sitaruhusu inekua kama ajali kunipata hukooooo linkedin ndio nikapata hizi flashback
 
d ni jina lake halisi alibadili id sjajua hio id mpya hata hivyo ngoja niendelee tubna maisha yangu
Endelea na maisha yako mkuu, humu tunaingia kwa kunyata manake mambo ni mengi.

Hata hivyo, mbona una hisia kali namna hii? Yaani mimi najua nikimkula mtu ndio anaweza kuumia, kumbe hata bila kuonana watu mnaumia kabisa?
 
Mzee wa loose ball hapo vipi akiendelea na herufi inayofatia kuna tatizo km D inasumbua?? 😂😂
🤣🤣🤣anasema hiyo ni initial ya nyumbani, sie tulitaka ya JF mkuu.

Hata hivyo hawakuwekana, sioni tatizo lolote hapo.
 
Endelea na maisha yako mkuu, humu tunaingia kwa kunyata manake mambo ni mengi.

Hata hivyo, mbona una hisia kali namna hii? Yaani mimi najua nikimkula mtu ndio anaweza kuumia, kumbe hata bila kuonana watu mnaumia kabisa?
alinitengenezea bond ambayo haina mfano ila ndio hivyo haikua yangu
 
Kama unataka kuzagamuana nae pashanae kama hutaki achana potezea tu
 
Back
Top Bottom