Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Eeh!! Kumbe watu mko serious humu na hamsemi?? 😂😂😂
Sema kina D wote ni dog km dog zingine
D- Dick, Devil na baba yao DP world sio wa kuweka nao mazoea kabisa!! Pole mama fesibuku 😂😂
mkuu hahahhaha hii kali
 
Bila umpe kipochi manyoya wewe unamuweka profile asee hata mimi ningemind.
 
Kuna watu jukwaani huwa wanajifanya wastaarabu na wakongwe ila ukiambiwa ni wa hovyo unashindwa kuamini 😁😁
Mtu kuwa wa hovyo ni mtazamo wa mtu tu.
Inategemea mtoa taarifa ana uelewa gani.
Mara nyingi watu wa hovyo ndio huanza kujitetea
 
Watu wanaoowaacha wenzi wao kwa nyodo kama zote alafu badae wanarudi huwa siwaelewi. Hii ni dharau iliyovuka mipaka watu wa hivi hawastahili kabisa nafasi ya pili. Achana nae huyo hakufai.
Mama kinyongo shikamoo😂
 
Hiyo D ni initial ya ID yake au ndio jina lake? Tunataka tuanze kufukunyua mkuu.

Hii ID ya mamaafacebook ilipotea sana, kumbe ililizwa na mwamba wa jf.

Watu tuna dhambi nyingi sana.
 
Huyu ingetokea ameliwa basi angeenda hata kulipua mabomu pale JF HQ, maxence melo angeshitakiwa kwa kuanzisha jf, yani kwa ufupi member wote wa jf tungepata tabu sana imagine hizi hasira huyo mtu hata hawakuwahi kuonana physical, nyieee!
kuonana, hahahahhaa ngoja niebdeleee
Sio saanaa.
Na post hii haikuhusu uzi wako bali nilimjibu Nuzu plz
okay
 
Back
Top Bottom