Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Marahaba mwanangu [emoji23] naomba sana Mungu anisaidie mana hadi najiogopa.Mama kinyongo shikamoo[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marahaba mwanangu [emoji23] naomba sana Mungu anisaidie mana hadi najiogopa.Mama kinyongo shikamoo[emoji23]
🤣🤣🤣umenichekesha mkuu. Nope kwa sasa sihitaji tena, na hata soko langu limeshuka vibaya mno🤣🤣D ishapitwa na wakati achukue namba E au sio 😂😂
Hapo ERoni ihusike
Pole, achana naye hakuna mwanaume hapomapenzi yake kwangu yalishakufa ndugu yangu
kwa kweliPole, achana naye hakuna mwanaume hapo
Soko la hisa au soko la uchakataji na uzalishaji ndio limeshuka? 😂😂😂🤣🤣🤣umenichekesha mkuu. Nope kwa sasa sihitaji tena, na hata soko langu limeshuka vibaya mno🤣🤣
Utakosa vitu vizuri, hata mazao hudumaa yakikosa mvua, lkn mvua ya pili inaweza kuyafufua then ongeza na mbplea utavuna vizuri tu.Marahaba mwanangu [emoji23] naomba sana Mungu anisaidie mana hadi najiogopa.
Fumbafu wewe😂😂😂😂😂😂 Achana nao tafuta kina G hao wafuta machozi ya wadada km wewe
rahisi kusema, ngumu kutekelezaJichekeshe na wewe vunga ka nothing happened afu mpotezee mazima
Unyama unyamani 😁😁😁
Hehehe 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌If that's the case, she can just take the mofo to court and be done with him for good (if she can) 😁😁🏃🏿♂️
View attachment 2764810
Soko la mapendo, kuchakata sio issue tena kwa uzee huu...Soko la hisa au soko la uchakataji na uzalishaji ndio limeshuka? 😂😂😂
mamaafacebook II wewe unamlaum mtu nami ninakulaumu wewe lkn sitamwaga mchele hadharani lakini😁mimi tena?
Hahaha uzee sukari guru😁😁Soko la mapendo, kuchakata sio issue tena kwa uzee huu...
😂😂😂😂 bro nampandisha juu kwenye alphabet zenye kuwajua wanawake vizuriFumbafu wewe😂😂😂
Kabisa mkuu, sema hizi drama nazo zinachosha.Hahaha uzee sukari guru😁😁
legendary nasema: alishaliwa sio chini ya raundi 5Na kuliwa hakuliwa, watu wana hisia kali nyie khaaa.
Mbona mimi hilo geni?😂😂😂😂 bro nampandisha juu kwenye alphabet zenye kuwajua wanawake vizuri
😂😂😂😂Soko la mapendo, kuchakata sio issue tena kwa uzee huu...