Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Uko na 10+yrs humu, hizo mambo zilitisha sana kipindi hicho. Sema ukweli tumshinde shetty🤣🤣
Weeeh hivi nimefikisha 10 kumbe🤣🤣🤣

Nilikuwa mtoto bado nasoma, usinikuze🤣🤣
 
Ukiona Bado unabeba long-term Grudges Juu ya Mtu Fulani ambaye mlikwazana naye kitambo .......Kaa ukijua haukujipa Muda wa Ku Heal yourself!.....hauja Move On hata kama ni 1000years imepita[emoji38].

"They are your Ex for a Reason", it wasn't a Coincidence!

Piga hatua Moja nyuma .... Observe, Observe and Observe!

Mahusiano Mengi ya Dunia ya Sasa ni Narcissistic relationships ......Mahusiano ya kimaslahi na si Upendo wa kweli!


Kwa Mimi FALSAFA yangu Ex akirudi Huwa najua amekuja na Mikakati ya Kuni Destroy Nipotee Mazima !

Piga Chini ......Heal yourself/Cutdown spiritual ties.

Kinachokuunganisha wewe na Ex wako ni Energies zakingono tu nothing else!
 
Hahahaa 😂😂 Koo anampaa...umwamba utakua wapii saa. Ila kama alimfukunyua huyo hastahili kunyimwa maku tayari anaishi nae kwenye chain ya Maisha yake!
 
Maandiko matakatifu yanatuasa tusamehe 7 mara sabini shusha kinyongo na usamehe muyajenge.
 
Hakukupenda ila saizi anakupenda kweli na wewe bado unampenda kwaiyo mnapendana [emoji16]
 
Kama unampenda we funika kombe mrudie yaishe wanaume wote tuko hivyo hyvyo tu Gubu la 1500 na Kuzira kwa 10000 msikilize yaishe ikiwezekana mnialike kwenyr harusi
 
[emoji15][emoji15]mmmh mapenz sametimes ni kupoteana mda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…