Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka kwa sauti alafu nyumba nzima nipo peke yangu ujue.Amekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote 😏
🤣🤣🤣🤣Miss you mom💕Nimecheka kwa sauti alafu nyumba nzima nipo peke yangu ujue.
I miss u more sweetie🤣🤣🤣🤣Miss you mom💕
Mama njoo hata kwangu basii utamsahau huyoohahaha hi sikuiona jamani
Mbn umenyosha mikono
Alikuwa na mtu huyo,Sasa kapigwa na kitu kizito huko ndo narudi kwako.nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho nikawa naomba misamaha bas tuyajenge lakini mnajua mumivu ya kua ignored? hakuna majibu, sijjibiwa chohote nikajiongeza mtoto wa kike nikaendelea na maisha yangu, mwanzoni niliishi kwa tabu sababu bado nilijua kuna siku atanitafta ilipofika mwaka nikasema huyu si wangu tena.
nikaendelea na maisha yangu, et baada ya ten good fucking years huyu kiumbe amerejea with a just simple excuse, jaman sijalala nina hasira mpaka muda huu nawezaje kuondoa kinyongo nawezaje, najua utasoma hii thread, kinachoniumiza ni kuona naonewa mwenzenu, i tried to search a version of him kwa watu ambao nimekutana nao baada yake, hakuna aliemfikia, he was so special lakini kwa alionitendea sina ham naye
D, nilikupenda ukanilipa unayostahili, ni heri usingejileta umenifanya napata flashbacks kibao najitahidi kukusahau lakini nashindwa kinachoishi moyon mwangu ni hasira na chuki, nawezaje kuondoa hii hali wenzangu nisaidieni.
Kweli,maana moyo hudanganyaKuna wakati katika mahusiano inahitaji uwe jasiri,katili na uwe na msimamo usikubali wewe uwe na maumivu ila kupitia wewe mwenzio awe na furaha,Si kila kitu ambacho moyo kinapenda lazima ufanye huyo kiumbe safari hii anakupa Usingle Mama kama zawadi kisha anasepa mazima.
😂😂😂😂😂🔊Kilanga komweAlikuwa na mtu huyo,Sasa kapigwa na kitu kizito huko ndo narudi kwako.
Naanza kumfukuzia Toyeye simuoni🔊Mbn umenyosha mikono
♥️I miss u more sweetie
😂😂😂Miaka 10 parefu sana sikilizia Moyo wako.
Koment katili sana hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SureLove ain’t enough
Sure
Huyu mgaratia yupo badoLove ain’t enough
D anataka kuosha lungu tena asepe duh..🤣🤣🤣😅nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho nikawa naomba misamaha bas tuyajenge lakini mnajua mumivu ya kua ignored? hakuna majibu, sijjibiwa chohote nikajiongeza mtoto wa kike nikaendelea na maisha yangu, mwanzoni niliishi kwa tabu sababu bado nilijua kuna siku atanitafta ilipofika mwaka nikasema huyu si wangu tena.
nikaendelea na maisha yangu, et baada ya ten good fucking years huyu kiumbe amerejea with a just simple excuse, jaman sijalala nina hasira mpaka muda huu nawezaje kuondoa kinyongo nawezaje, najua utasoma hii thread, kinachoniumiza ni kuona naonewa mwenzenu, i tried to search a version of him kwa watu ambao nimekutana nao baada yake, hakuna aliemfikia, he was so special lakini kwa alionitendea sina ham naye
D, nilikupenda ukanilipa unayostahili, ni heri usingejileta umenifanya napata flashbacks kibao najitahidi kukusahau lakini nashindwa kinachoishi moyon mwangu ni hasira na chuki, nawezaje kuondoa hii hali wenzangu nisaidieni.
Covid muoneeni huruma uyo D ajipatie mbususu yake hrk iwezekanavyo😂😂D anataka kuosha lungu tena asepe duh..🤣🤣🤣😅