Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Another single mama in waiting.


Wanawake huwa mna extra thoughts linapokuja suala la mahaba.

Zunguka bucha zoote, lakini gegedo ni lile lile[emoji1787]... bibie kafa kaoza anatafuta hoja za kumfariji humu ili asongembele na jamaa yake aliyebeba kifo chake mkononi
"Another single mama in waiting."

Ndani ya miaka 10 unaamini atakua bado single?!
 
Amekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote [emoji57]
Daaah!
Mbona unaongea kwa maumivu hivi! 🥱
Nawe unapita kwenye moto kama huu
 
kisa kilikua cha kitoto sana sitaki kukisema hapa ambacho mimi nilihusika tu kuweka pic yake kama profile halaf kunae huyo mtu kimbelembele akatia fitna ni mwanaume ujue
Funguka tuu ili uchungu uishe vilevile utawasaidia na wengine wajue tabia za baadhi ya member wa humu
 
sasa ndio huyo d et akanuna baba zima na ndevu zake kaa mbuzi maisha haya
Kwamba kwenye pfl pic uliweka picha ya huyo umpendae au ya huyo kidudu mtu aliecomments hapo juu?,hebu tufafanulie vizur huyo kidudu mtu alikuharibia vip?...
 
Mshenzi kampata fala wake,,😂😂😂kakiburi kangu kamenisaidia sana kunako mahusiano, yani mi ningemlamba block kila kona ya mawasiliano na angejitia kutumia namba nyingine ningemreport whatsup ili wamfungie akili imsogee
 
Mshenzi kampata fala wake,,😂😂😂kakiburi kangu kamenisaidia sana kunako mahusiano, yani mi ningemlamba block kila kona ya mawasiliano na angejitia kutumia namba nyingine ningemreport whatsup ili wamfungie akili imsogee
Eti miaka kumi halafu ana jirudisha dadekiii na block mpaka Ukoo wake😁😁
 
nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho nikawa naomba misamaha bas tuyajenge lakini mnajua mumivu ya kua ignored? hakuna majibu, sijjibiwa chohote nikajiongeza mtoto wa kike nikaendelea na maisha yangu, mwanzoni niliishi kwa tabu sababu bado nilijua kuna siku atanitafta ilipofika mwaka nikasema huyu si wangu tena.

nikaendelea na maisha yangu, et baada ya ten good fucking years huyu kiumbe amerejea with a just simple excuse, jaman sijalala nina hasira mpaka muda huu nawezaje kuondoa kinyongo nawezaje, najua utasoma hii thread, kinachoniumiza ni kuona naonewa mwenzenu, i tried to search a version of him kwa watu ambao nimekutana nao baada yake, hakuna aliemfikia, he was so special lakini kwa alionitendea sina ham naye

D, nilikupenda ukanilipa unayostahili, ni heri usingejileta umenifanya napata flashbacks kibao najitahidi kukusahau lakini nashindwa kinachoishi moyon mwangu ni hasira na chuki, nawezaje kuondoa hii hali wenzangu nisaidieni.
Upupu wa uongo kama huu ndiyo unapata ''likes'' nyingi na kuchangiwa sana. Ndiyo maana watu wanazidi kuanzisha thread kama hizi.
 
Amekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote 😏
Nimekuelewa sanaaa.

#YNWA
 
Back
Top Bottom