Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Mmekiwasha
Nani weeee shkamoo jf 🙌🙌🙌🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️!
 
Sasa waacheni wayajenge ametuletea huu Uzi kwa ajili ya nini😂
 
nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho nikawa naomba misamaha bas tuyajenge lakini mnajua mumivu ya kua ignored? hakuna majibu, sijjibiwa chohote nikajiongeza mtoto wa kike nikaendelea na maisha yangu, mwanzoni niliishi kwa tabu sababu bado nilijua kuna siku atanitafta ilipofika mwaka nikasema huyu si wangu tena.

nikaendelea na maisha yangu, et baada ya ten good fucking years huyu kiumbe amerejea with a just simple excuse, jaman sijalala nina hasira mpaka muda huu nawezaje kuondoa kinyongo nawezaje, najua utasoma hii thread, kinachoniumiza ni kuona naonewa mwenzenu, i tried to search a version of him kwa watu ambao nimekutana nao baada yake, hakuna aliemfikia, he was so special lakini kwa alionitendea sina ham naye

D, nilikupenda ukanilipa unayostahili, ni heri usingejileta umenifanya napata flashbacks kibao najitahidi kukusahau lakini nashindwa kinachoishi moyon mwangu ni hasira na chuki, nawezaje kuondoa hii hali wenzangu nisaidieni.
Aisee, hebu weka ID yake hapa tumchane live aache mambo ya hovyo
 
😂😂😂Mbn sio busara wewe shika jembe kalime chief
Kama alitaka iwe siri angemfata PM amchene, sasa amakuja kushtaki kwetu wanajamvi inabidi tumsaidie kumchana mwamba aache mambo ya hovyo😁😁
 
Acha bandari iuzwe tu..

Kuna types of these human!? 🤣🤣🤣🤣
 
Kama alitaka iwe siri angemfata PM amchene, sasa amakuja kushtaki kwetu wanajamvi inabidi tumsaidie kumchana mwamba aache mambo ya hovyo😁😁
Ukute mwamba alichanganya madesa humu auweeee🤠🤠🤠🤠
 
Amekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote 😏
Kumbe wanaume wa humu wako hivyo na hovyo?Ala!Japo najua sio wote.Lakini sasa To yeye to your age bado wanakupa shida kuwajua?
 
nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho nikawa naomba misamaha bas tuyajenge lakini mnajua mumivu ya kua ignored? hakuna majibu, sijjibiwa chohote nikajiongeza mtoto wa kike nikaendelea na maisha yangu, mwanzoni niliishi kwa tabu sababu bado nilijua kuna siku atanitafta ilipofika mwaka nikasema huyu si wangu tena.

nikaendelea na maisha yangu, et baada ya ten good fucking years huyu kiumbe amerejea with a just simple excuse, jaman sijalala nina hasira mpaka muda huu nawezaje kuondoa kinyongo nawezaje, najua utasoma hii thread, kinachoniumiza ni kuona naonewa mwenzenu, i tried to search a version of him kwa watu ambao nimekutana nao baada yake, hakuna aliemfikia, he was so special lakini kwa alionitendea sina ham naye

D, nilikupenda ukanilipa unayostahili, ni heri usingejileta umenifanya napata flashbacks kibao najitahidi kukusahau lakini nashindwa kinachoishi moyon mwangu ni hasira na chuki, nawezaje kuondoa hii hali wenzangu nisaidieni.
Hasira hukaa kifuani kwa wapumbavu,kuna muda umeruhusiwa kukasirika lakini isizidi kile Biblia inasema kabla jua kuzama.Kwanini ni muhimu kusamehe ni kwa faida yako sio ya huyo aliyekuumiza.
Jifunze kusema nimesamehe hata kama umaona ni ngumu.
Kuhusu kumpa nafasi nyingine kama wewe ni mcha Mungu kuna signal za wazi naada ya kusamehe na kuondoa uchungu utazipata kama yes or no more na maisha yataendelea.Epuka hisia kwenye mamuzi yako may cost you again.
 
Back
Top Bottom