Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Ni kweli muhimu ukishafanya Kosa kudate na mtu na hakukuthamini lifanye kuwa Kosa lako la mwisho hakuna second chance hapo ni Kuishi maishayako no matter ilikuumiza nenda kalilie mbele maisha yaendelee
Sasa unanishauri nini apo nisipende tn😂
 
Wenye wapenzi wenyu humu wanaoanzia na D 🤠🤠🤠🤠!!
 
Back
Top Bottom