Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho nikawa naomba misamaha bas tuyajenge lakini mnajua mumivu ya kua ignored? hakuna majibu, sijjibiwa chohote nikajiongeza mtoto wa kike nikaendelea na maisha yangu, mwanzoni niliishi kwa tabu sababu bado nilijua kuna siku atanitafta ilipofika mwaka nikasema huyu si wangu tena.

nikaendelea na maisha yangu, et baada ya ten good fucking years huyu kiumbe amerejea with a just simple excuse, jaman sijalala nina hasira mpaka muda huu nawezaje kuondoa kinyongo nawezaje, najua utasoma hii thread, kinachoniumiza ni kuona naonewa mwenzenu, i tried to search a version of him kwa watu ambao nimekutana nao baada yake, hakuna aliemfikia, he was so special lakini kwa alionitendea sina ham naye

D, nilikupenda ukanilipa unayostahili, ni heri usingejileta umenifanya napata flashbacks kibao najitahidi kukusahau lakini nashindwa kinachoishi moyon mwangu ni hasira na chuki, nawezaje kuondoa hii hali wenzangu nisaidieni.
Wewe ni fara,Zina na mjinga.Bwege mkubwa wewe
 
Kuna wakati katika mahusiano inahitaji uwe jasiri,katili na uwe na msimamo usikubali wewe uwe na maumivu ila kupitia wewe mwenzio awe na furaha,Si kila kitu ambacho moyo kinapenda lazima ufanye huyo kiumbe safari hii anakupa Usingle Mama kama zawadi kisha anasepa mazima.
Nakaziaaaaaaaa!!
 
Miaka 10 yote??
Yani kaazurura hukoooooo ukute yamemshinda ndio analeta pmbu zake kwako!
Au amejua ulikufa ukaoza kwake anakutest tu awe anapiga aliko na kwako!
Shtuka mamy ! Bomu hilo!
 
kuna vitu sijataka kuvidisclose na baada ya hayo mambo niliyafukia moyoni msione watu jf wastaarab msione nje ya jf ni wapuuz watu wazima hawana akili
Hii imeenda!!
Achana nae hafaii huyoo!!

BTW
welcome back!! tunafurahi kukuona tena mamy!
 
nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho nikawa naomba misamaha bas tuyajenge lakini mnajua mumivu ya kua ignored? hakuna majibu, sijjibiwa chohote nikajiongeza mtoto wa kike nikaendelea na maisha yangu, mwanzoni niliishi kwa tabu sababu bado nilijua kuna siku atanitafta ilipofika mwaka nikasema huyu si wangu tena.

nikaendelea na maisha yangu, et baada ya ten good fucking years huyu kiumbe amerejea with a just simple excuse, jaman sijalala nina hasira mpaka muda huu nawezaje kuondoa kinyongo nawezaje, najua utasoma hii thread, kinachoniumiza ni kuona naonewa mwenzenu, i tried to search a version of him kwa watu ambao nimekutana nao baada yake, hakuna aliemfikia, he was so special lakini kwa alionitendea sina ham naye

D, nilikupenda ukanilipa unayostahili, ni heri usingejileta umenifanya napata flashbacks kibao najitahidi kukusahau lakini nashindwa kinachoishi moyon mwangu ni hasira na chuki, nawezaje kuondoa hii hali wenzangu nisaidieni.
Njoo kwangu
 
Jamaniii hawa member wa zamani si wanasema ya mwanzo jf ilikuwa haina vijana wa hovyo imekuwaje tena 😁😁😁😁
🀠🀠🀠🀠🀠!
 
Amekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote 😏
Ni bora useme "baadhi ya wanaume" sio wote wana hayo matabia.
 
Kuna watu jukwaani huwa wanajifanya wastaarabu na wakongwe ila ukiambiwa ni wa hovyo unashindwa kuamini 😁😁
🀣🀣🀣🀣🀣🀠🀠🀠🀠🀠🀠!

Ndio ivo dear humu kuna wanajifanya kondoo kumbe mbwa mwitu!!
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀠🀠🀠🀠🀠🀠!

Ndio ivo dear humu wanajifanya kondoo kumbe mbea mwitu!!
Mm nafikir Hao ndo wakuogopwa kuliko Hawa kina mzabzabπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho nikawa naomba misamaha bas tuyajenge lakini mnajua mumivu ya kua ignored? hakuna majibu, sijjibiwa chohote nikajiongeza mtoto wa kike nikaendelea na maisha yangu, mwanzoni niliishi kwa tabu sababu bado nilijua kuna siku atanitafta ilipofika mwaka nikasema huyu si wangu tena.

nikaendelea na maisha yangu, et baada ya ten good fucking years huyu kiumbe amerejea with a just simple excuse, jaman sijalala nina hasira mpaka muda huu nawezaje kuondoa kinyongo nawezaje, najua utasoma hii thread, kinachoniumiza ni kuona naonewa mwenzenu, i tried to search a version of him kwa watu ambao nimekutana nao baada yake, hakuna aliemfikia, he was so special lakini kwa alionitendea sina ham naye

D, nilikupenda ukanilipa unayostahili, ni heri usingejileta umenifanya napata flashbacks kibao najitahidi kukusahau lakini nashindwa kinachoishi moyon mwangu ni hasira na chuki, nawezaje kuondoa hii hali wenzangu nisaidieni.
Njoo PM nikusaidie kitu
 
Amekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote 😏
DahπŸ€”πŸ€”πŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒπŸ˜€πŸ˜€, Aaliyyah Ume like kwa kopa - kumaanisha nini πŸ€”πŸ˜€πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom