Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

nilikutana naye humu humu jamiiforums, nakiri nilimpenda sana sana anajua hili, ghafla tulitofautiana padogo bas akanibwaga,nikajaribu kumcheki kwenye email, hangout, sjui wasap kibaya akabadili id nakiri siijui id yake ya sasa,ila kwakipindi kile nilijitahidi kufanya jitihada nyingi mwisho nikawa naomba misamaha bas tuyajenge lakini mnajua mumivu ya kua ignored? hakuna majibu, sijjibiwa chohote nikajiongeza mtoto wa kike nikaendelea na maisha yangu, mwanzoni niliishi kwa tabu sababu bado nilijua kuna siku atanitafta ilipofika mwaka nikasema huyu si wangu tena.

nikaendelea na maisha yangu, et baada ya ten good fucking years huyu kiumbe amerejea with a just simple excuse, jaman sijalala nina hasira mpaka muda huu nawezaje kuondoa kinyongo nawezaje, najua utasoma hii thread, kinachoniumiza ni kuona naonewa mwenzenu, i tried to search a version of him kwa watu ambao nimekutana nao baada yake, hakuna aliemfikia, he was so special lakini kwa alionitendea sina ham naye

D, nilikupenda ukanilipa unayostahili, ni heri usingejileta umenifanya napata flashbacks kibao najitahidi kukusahau lakini nashindwa kinachoishi moyon mwangu ni hasira na chuki, nawezaje kuondoa hii hali wenzangu nisaidieni.
yaani ten years, you have not grown up ukajua namna ya kukabiliana na mtu kama yeye?
 
Amezikosea sana....

Na amekosea watu wengine pia...Maana inawezekana alikuwa anapata watu then hawajali wala nini sababu akili ipo kwa jamaa bado...
Ni huzuni aiseee..
Ni huzuni kuu hakuna kitu kibaya kama kumsubiri mtu ambaye hujui atarudi lini na atarudi na nini. Muda nao unakimbia 10 yrs sio poa
 
Kuna malengo ya muda mfupi na malengo ya muda mrefu; timizeni kwanza lengo la muda mrefu kwanza
 
That's it my man
kabisa, hali ni mbaya sana nowdays, mabinti wengi wamekuwa sugu, mioyo yao imekuwa ya baridi mno, hawajali tena. Kibaya zaidi wengi yanawakuta haya katika umri mdogo sana, sasa imagine unaingia kwenye mahusiano na mtu kama huyo, what do you expect? Once ukirealize hii huwezi kulaumu bali inabidi uelewe situation na muhusika.
 
eti hatujakutana kimwili lakini ninauchungu nae🤣🤣🤣

wee malaya kama joannah tuu

mwamba katoa helazake kwenda kugongwa hutaki.unategemea afanye nini?
 
Amekuja tena ale asepe..... wanaume wa humu wanatuona tuna njaa na mahusiano ndo maana wanatuchukulia poa.....we Cha kufanya akikuambia I love you mjibu I love you too.....sikutaki mjibu sawa....narudi kwako Nisamehe mjibu sawa rudi nimekusamehe......nataka papuchi....mjibu sawa njoo unitombe.....Kuna muda mapenz yakera mpaka huwez mwamini yeyote [emoji57]
Hebu zunguka huku mabanda ya uani tuzungumze kidogo
 
Back
Top Bottom