Nawezaje kuacha kuishi na kinyongo kwa mtu huyu

Ngoja anyooshwe....si anaitaka mimba na ukimwi kinguvu🤒
Another single mama in waiting.


Wanawake huwa mna extra thoughts linapokuja suala la mahaba.

Zunguka bucha zoote, lakini gegedo ni lile lile🤣... bibie kafa kaoza anatafuta hoja za kumfariji humu ili asongembele na jamaa yake aliyebeba kifo chake mkononi
 
Hebu tueleze hizo version tujfunze tuendako dada etu
 
Unaonekana unapenda kunyoosha mstari😀
 
Kuna wakati katika mahusiano inahitaji uwe jasiri,katili na uwe na msimamo usikubali wewe uwe na maumivu ila kupitia wewe mwenzio awe na furaha,Si kila kitu ambacho moyo kinapenda lazima ufanye huyo kiumbe safari hii anakupa Usingle Mama kama zawadi kisha anasepa mazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…