Cardiovascular diseases haipata na Chumvi, ndo maana wanaotiwa nje ya nchi uwa wanakatazwa Chumvi kwa mwaka mzima, madaktari wa Bongo hawakatazKweli mkuu maana mwanzoni nilikua napenda sana kuongeza chumvi kwenye vyakula
Wewe moyo unauma? Moyo unaenda mbio ata Kama hufanyi kazi yoyote, je kufanya sex inakuletea shida? Na je mkono wa kushoto, bega na Mbavu haviumi?Je mkuu nawezaje kuacha kama kuna mbinu maana nimefatilia reviews nying sana za watu waliotaka kuacha hizi dawa ila naona wengine huwa wanaishia kufariki, icho ndio kinanitisha mkuu.
Mwisho
inamaanisha kama shida ni sinus tachycardia naweza nikaishi bila hizi dawa mkuu? Maana watu wengi wamekua wakinambia kua ni ngumu kuacha.
Exactly, possibly a systematic cause.Habari, pole kwa kuumwa.
Kwenye suala lako, bado naona kulikuwa na nafasi ya kujua hii sinus tachycadia inasababishwa na nini:
1: mis-behaving ya sinus yenyewe?
2: lifestyle kama: matumizi ya kahawa, anxiety, stress??
3: kitu kingine nje ya moyo kama hormones: thyroid/adrenaline nk.
Kama ni 2 na 3, vinaweza kuwa controlled na kuwa sawa na kuacha dawa.
Kama ni 1 hapo juu, inategemea na kiasi cha tachycardia/kiasi cha kasi yenyewe, kwani kama inafikia kupata maumivu na kuchoka/kizunguzungu. Hii inaonyesha kuna wakati moyo haupati sukari na oxygen ya kutosha ndo maana misuli ya moyo inalalamika kwa hayo maumivu, ambacho si kitu kizuri pia viungo vingine kutolishwa vyema.
Ombi langu ni kuwaona Cardiologist ambao ni very experienced ili upate mawazo yao hata kama ni zaidi ya wawili.
Wakati mwingine unaweza kufanya vipimo, unaenda navyo kwa specialist zaidi ya mmoja na kupata mawazo yao na kulipa consultation tu kama kuna ugumu kwenye kurudia vipimo.
Mwenyezi Mungu akusimamie katika yote.
Kuwa makini unapomshauri mtu mwenye shida ya moyo kuhusu mazoezi, Kuna wengine mazoezi hayaruhusiwi kbs inategemea na tatizo na stage lilipofikia, Kuna watu hufa ghafla mazoezini.Huwezi kuacha dawa until umeanza method nyingine za kukusaidia.
1.Punguza matumizi ya chumvi au acha until urecover
2.Kama weight yako ni kubwa itabidi upunguze up to normal range ( body mass index)
3.Fanya mazoezi regular kwa wiki Mara tatu au nne kwa 45 min ...inaweza kuwa simple jogging ( sio magumu ya kukosa hewa)
4.zidisha matunda na mbogamboga kwa wingi .kula spiecies zote muhimu Kwa wingi Kama mdalasini, kitunguu swaumu ,FLAX SEED etc
5 .piga chini junk foods like chips and processing foods .
Zingatia hayo kwa makini
Mimi pia nilikutwa moyo unadunda Sana kuliko kawaida,nikaandikiwa dawa hata sikumaliza dozi na ilikuwa Mwaka Jana mpaka Leo nadundaHuwezi acha. You are in forever. Huo ni ugonjwa sugu. Sio malaria utakunywa dawa upone.
Jiandae kunywa hizi dawa maisha yako yote.
Better aanze na physician kabla ya kumwona cardiologist au kama case yake inaweza kujadiliwa kwenye panel ya wataalamu maana it seems to be multidisciplinary.Habari, pole kwa kuumwa.
Kwenye suala lako, bado naona kulikuwa na nafasi ya kujua hii sinus tachycadia inasababishwa na nini:
1: mis-behaving ya sinus yenyewe?
2: lifestyle kama: matumizi ya kahawa, anxiety, stress??
3: kitu kingine nje ya moyo kama hormones: thyroid/adrenaline nk.
Kama ni 2 na 3, vinaweza kuwa controlled na kuwa sawa na kuacha dawa.
Kama ni 1 hapo juu, inategemea na kiasi cha tachycardia/kiasi cha kasi yenyewe, kwani kama inafikia kupata maumivu na kuchoka/kizunguzungu. Hii inaonyesha kuna wakati moyo haupati sukari na oxygen ya kutosha ndo maana misuli ya moyo inalalamika kwa hayo maumivu, ambacho si kitu kizuri pia viungo vingine kutolishwa vyema.
Ombi langu ni kuwaona Cardiologist ambao ni very experienced ili upate mawazo yao hata kama ni zaidi ya wawili.
Wakati mwingine unaweza kufanya vipimo, unaenda navyo kwa specialist zaidi ya mmoja na kupata mawazo yao na kulipa consultation tu kama kuna ugumu kwenye kurudia vipimo.
Mwenyezi Mungu akusimamie katika yote.
Nje pesa anayo?Pole sana mkuu embu jaribu kutafuta experienced cardiologist wa nje wakupe guidance!
Sio lazima aende physically anaweza cheki CVs zao kwenye platforms kama linkedin n.k na akawasiliana nao wakaorganize video conferencing au akattach na docs za matibabu akatatuliwa shida yake kwa bei nafuu na maisha yakaendelea!Nje pesa anayo?
Huwezi kuacha dawa until umeanza method nyingine za kukusaidia.
1.Punguza matumizi ya chumvi au acha until urecover
2.Kama weight yako ni kubwa itabidi upunguze up to normal range ( body mass index)
3.Fanya mazoezi regular kwa wiki Mara tatu au nne kwa 45 min ...inaweza kuwa simple jogging ( sio magumu ya kukosa hewa)
4.zidisha matunda na mbogamboga kwa wingi .kula spiecies zote muhimu Kwa wingi Kama mdalasini, kitunguu swaumu ,FLAX SEED etc
5 .piga chini junk foods like chips and processing foods .
Zingatia hayo kwa makini
Weight yangu ipo normal kabisa sio kubwa wala sio ndogo mkuu na matumizi ya chumvi nimepunguza kabisa wala siongezi chumvi yoyote.
Mazoezi huwa nafanya kidogo mda mwingine nacheza mpira kabisa
Matunda huwa natumia hasa ndizi, parachichi ila niligoogle wanasema matunda yenye potassium kwa wingi kama ndizi, parachichi hayafai kutumia wakati unatumia hizi dawa za beta blocker sasa hapo pia nimepata mtihani, Maana nilimuuliza dokta akanambia nitumie tu
Chipsi kwa kweli situmii kabisa sahiv na hata nyama ya ng'ombe nayo nimepiga chini
Hapa nilipo nina mpango nirudie hata vipimo vyote vya moyo maana sielewi mkuu.Si rahisi kulisemea hilo, mpaka ufanyiwe vipimo zaidi na kufikia mwafaka wa nini zaidi kinacholeta haya yote.
Zaidi ya hapo ni kurusha jiwe gizani, hutaweza kujua utasaidika na lipi hasa.
Kuhusu shida nini?
Matatizo mengine yanaweza kujitokeza kwa mtu binafsi kama ilivyoelezwa kule juu, bila kufuata mfumo wa kurithi ki-ukoo.
Ndio nilipimwa tatizo nimesahau jina la vipimo na jina la dawa,but kipimo kimoja unawekewa waya miguuni mpaka kifuani na kingine Kama utrasound hiviUlifanya vipimo mkuu ? na uliandikiwa dawa gani.