Ryder2
Member
- Sep 11, 2021
- 81
- 88
Habari za jion wana JF,
Nimekua nikitumia dawa za kupunguza mapigo ya moyo kwa muda wa miezi 6 sasa ,mwanzoni niliandikiwa dawa aina ya BISOPROLOL nikatumia kwa muda wa mwezi mmoja tu nikaacha then kutokana na side effects mbaya nikabadilishiwa dawa nikapewa NEBIVOLOL ambayo ndio natumia hadi sasa ila nameza nusu kidonge.
Sababu za kutumia dawa hizi ni kua, tokea nakua katika utoto wangu yani tokea nipo secondary (nikiwa na miaka 13-17) nilikua nikicheza mpira ila kuna muda moyo ulikua unavuta then unaachia yani kama unataka kusimama kudunda, ila kwa kipindi hicho sikuona shida yoyote ile nikawa naendelea na shughuli zangu kama kawaida, ila mwaka jana hali ikwa imechange (hapa nimefika miaka 24) nikawa napamua kwa shida, mikono na miguu inakua ya baridi, mapigo yanaenda mbio.
Halii hii ilinichanganya sana ila nikapata akili fasta nikaingia google na kuanza kutafuta shida ni nini, nilifanikiwa kugoogle matunda yanayoshusha mapigo ya moyo ambaya ni ndizi, machungwa , parachichi na nk. nilivyokua natumia haya matunda Hali yangu ilikua kawaida ila bado nikawa kama sijazuia shida ya kupumua kwa tabu.
Mwaka jana huo huo nikaona niende MUHIMBILI NATIONAL HOSPITAL nikafika nikafanya vipimo vingi sana ambavyo ni:
1. ECG ( Bordeline Abnormal ecg kipimo kikaandika sinus tachycardia) hakukua na majibu mengine zaidi ya tachycardia
2. ECHO ( Hiki kilisoma normally essentially ECHO findings lakini TACHYCARDIA NOTED ambapo majibu yalikua ifuatavyo)
ECHO FINDINGS
NORMAL SIZED CARDIAC CHAMBERS,
LV-UNIFORM CONTRACTILITY,
NORMAL SYSTOLIC FUNCTION WITH LVEF 71%
NORMAL DIASTOLIC FUNCTION
ALL VALVES ARE NORMAL IN STRUCTURE AND FUNCTIONS
IVC-NORMAL, NO SHUNT/THROMBUS, NORMAL PERICARDIUM
3. Pia nilipima fasting glucose nikakutwa na 5.3mmol/l
4. Blood urea nitrogen (NIkakuta normal )
5. Serum creatinine (nayo normal)
6. Full blood picture (normal )
7. Serum cholesterol (nayo normal)
8. X RAY chest pain (nayo normal)
Kutokana na majibu hayo juu dokta akaniandikia dawa nilizotaja hapo juu nitumie ili nipunguze mapigo ya moyo lakini mwezi huu kwenye clinic ameniambia niziache hizi dawa, ila mimi kabla ya hapo nilijaribu kuziacha lakini nakua najisikia vibaya sana. kama kuna njia za kuacha hizi dawa niambieni wakuu wangu wa JF.
Lakini pia mbona kama sijatibu tatizo la moyo kuvuta maana huwa linanitokea na sijajua shida ni nini maana nimepima mpaka nimechoka wakuu, kama kuna mtu ameshawahi kupatwa na tatizo hili anisaidie wakuu, maana nimechoka na haya matatizoo mpaka dunia naiona chungu.
NAWASILISHA.