Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

Kama mlichuma wote(zilipatikana wakati mko ndoani) ni haki yake mgawane,kama ulikuwa nazo kabla ya ndoa huna haja ya kuficha hana haki nazo.
Usithamini vitu,mali zinatafutwa hasara roho.
 

Nawezaje kutofautisha Mali binafsi na Mali za ndoa?
 
Hivi ndoa ni kitu cha lazima sana ? mbona watu weusi ni kama mnateseka sna ? Why would you live kwenye maisha ambayo inabidi uteseke kuficha your assets

Halaf mbona haya mambo hatusikii kwa wahindi waarabu ni black peoples tu

Tatizo kubwa black people mlipoteza identity yenu
Namshukuru mungu nilipata woman ambae kwanza kwao wa kishua, na yeye mwenyewe anazo…… michakato yote ya pesa zake inapitia kwangu , kadhalika yangu inapitia kwake

Discussion yetu kubwa ni je tuwajenge vipi watoto wetunuwezo waje kuendeleza Mali zetu baadae
Kuwe na continuity ….. Kama wahindi vile

Kama upo na wife na huwezi kuwa na discussion kama hizi ujue wote nyie ni wahalifu na wahuni ndio maanq Mwisho wa siku wahalifu hupigana risasi

Mtoto wa kiume unalilia kuandikwa kwenye hati, what a shame
 
Nawezaje kutofautisha Mali binafsi na Mali za ndoa?
Kwa ujumla, mali binafsi ni mali uliyoipata kabla ya ndoa au kwa njia inayoweza kuthibitisha kuwa ni yako binafsi. Mali ya ndoa mara nyingi huhusisha mali iliyopatikana wakati wa ndoa, hasa pale ambapo mwenza alichangia fedha, kazi, malezi au namna nyingine katika kuipata/kuiendeleza.


Kwa Tanzania, si salama kuamua kwa kuangalia tu jina lililo kwenye hati. Chanzo cha mali, muda ilipopatikana na mchango wa kila mwenza vinaweza kuwa muhimu.


Mfano:
Nyumba uliyonunua kabla ya ndoa β†’ inaweza kuwa mali binafsi, kutegemea mazingira.
Nyumba iliyonunuliwa wakati wa ndoa kwa michango ya wote β†’ inaweza kuwa mali ya ndoa.

Mali uliyorithi β†’ kwa kawaida huwa na msingi tofauti na mali iliyopatikana kwa juhudi za pamoja.


Kama kuna mgogoro, usifiche, kuuza au kuhamisha mali kwa siri. Kusanya hati, risiti na ushahidi wa chanzo cha fedha, kisha pata ushauri wa mwanasheria wa familia.
 
Mama yako hayupo pale kwa bahati mbaya. Tafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…