Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Bora vya mtoa mada kuliko wewe sasa, yani wewe hutaki ndevu na huna ili upakwe makeup au halafu wanaume msio na ndevu wambea mbea sana nyie
Mm n mbea nikiwa na girl wangu, juzi kati kuna mmama hapa mtaani amesutwa halafu demu wangu hakuwepo sasa jana hapa ikabidi nimsimulie ilibidi nivae dera lake ili umbea unoge 😎
 
Hy ndo nzuri unakuwa unaipapasa tuu ht haiumizi mikono πŸ˜‚
Naogopa aiseee.!! 😹😹😹
Kuna siku hun wangu hakupitisha topaz, shanga si zikakamata vuzi alipiga ukunga nusu anizabue kofi… sasa awe na hiyo minyoya kifuani si ataniua 🀣🀣
 
Naogopa aiseee.!! 😹😹😹
Kuna siku hun wangu hakupitisha topaz, shanga si zikakamata vuzi alipiga ukunga nusu anizabue kofi… sasa awe na hiyo minyoya kifuani si ataniua 🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚ Dah
Em njoo jaribu kwangu mm ambaye sina ht hilo vuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…