Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

Nawezaje kuondoa Garden Love Mbaya?

Bora vya mtoa mada kuliko wewe sasa, yani wewe hutaki ndevu na huna ili upakwe makeup au halafu wanaume msio na ndevu wambea mbea sana nyie
Mm n mbea nikiwa na girl wangu, juzi kati kuna mmama hapa mtaani amesutwa halafu demu wangu hakuwepo sasa jana hapa ikabidi nimsimulie ilibidi nivae dera lake ili umbea unoge 😎
 
Naogopa aiseee.!! 😹😹😹
Kuna siku hun wangu hakupitisha topaz, shanga si zikakamata vuzi alipiga ukunga nusu anizabue kofi… sasa awe na hiyo minyoya kifuani si ataniua 🤣🤣
😂😂 Dah
Em njoo jaribu kwangu mm ambaye sina ht hilo vuzi
 
Back
Top Bottom