Ni Miaka miwili sasaNi mda gani tangu hili litokee?
Na nani dearHamjaachana tu Bado 🙌🏾
Asante.. natumaini safari Hii nitaponaPole sana Mungu akusaidie.
Hakika Mungu wetu ni Mwema kila wakati.Asante.. natumaini safari Hii nitapona
Kwanza kabisa ni kukubaliana na yakiyotokea. That you cant change the past, samehe au jisamehe.Habari wakuu
Nimehangaika sana kukabiliana na hili jambo lakini kwa uwezo wangu wote imeshindikana kabisa nahitaji msaada na ushauri haswa wa kiimani
Lakini msaada huu sipendelei munielekeze kwa manabii wala mitume wala dini nyingine tofauti na ukristo
Kama una mchungaji unamfahamu ambae ana uwezo wa kuongea na Mungu direct na shidq yangu ikatatuliwa naomba mni comments hapA
Tatizo linalonisumbua ni hili
Mimi ni binti wa umri wa miaka 26.. mwaka fulani nilipata mchumba wa kutaka kunioa.. wakati yuko kwenye hatua za kuja nyumbani sijui niseme bahati mbaya ama ni nzuri yule kaka Alifariki,, ilikuwa kama ghafla tu
Katika maisha yangu nishaumia na mengi ila hili jambo ni jambo linalo niumiza sana yaani mno… nimejitahidi kulikubali na nikajifanya nina nguvu ya kulikabiri, mbele za watu najifanya ni strong sitaki kulialia ila ndugu zanguni ni uongo ninalia sana na nina umia ndani kwa ndani kila nimkumbukapo huyo kijana
Tangu tatizo linipate sijawai kupata mtu wa kunifanyia counseling wala maombi.. sijawahi kuonana na mtu yoyote wa kidini ambae labda angeomba na mimi
Hata nikitaka kuomba mwenyewe siwezi nakosa kuomba nakosa maneno ya kuongea
Ubaya zaidi tangu huyo kijana afariki mimi kwangu mahusiano ni changamoto kila ninaempata ninafanya comparison sana kiasi kwamba najikuta naachwa achwaa
Kwa sasa nina mahusiano mapya yana miezi 5 angalau kuna ka mwanga lakini nahisi huyu Kijana atanichoka maana nampa pressure sana.. asiponitafuta nakuwa naogopa,, siogopi kuachwa naogopa nisije pewa taarifa za msiba
Hili jambo linanitesa sana hofu ya kuachwa imenitawala… hata kuolewa naogopa maana kila nikikumbuka kuhusu ex wangu marehemu inaniuma sana
Unajua Hakuna kitu kinaniuma kama kifo chake.. yaani mwanaume niliekuwa nampenda tunapenda yupo tayari kunioa.. baada ya mawasiliano ya masaa mawili napewa taarifa ya kifo chake
Mwanaume ambae tulipanga mipango mingi ya baadae…nilishaamini kuwa angeenda kuwa mme wangu,, baba wa watoto wangu,, niliacha kila kitu changu kwaajili ya kujiandaa kuwa mke wake
Unajua namna inavyouma 😭😭
Ni kama vile nilipokonywa tonge mkononi
Nahitaji kupata ushaurii wowote haswa wa kiimani
NB:
Naomba ushauri wa kwenda kwa manabii ama mitume ama watu wafananao na hao sihiitaji… siitaji kulishwa keki wala mafuta wala chumvi wala kitambaa.. sihitaji waganga wa kienyeji
Mimi ni mkristo kabisaa
Nahitaji kupata mtu wa kweli wa Mungu anaeongea na Mungu direct najua Tanzania nzima hatokosekana
Kwa kukusaidia Mungu hana dalali. Wewe ndie wa kumface na atakupa aman ya moyoni. Huo ndio ukubwa kadiri unavyokuwa wale wanaokuzunguka watakufa na hata yale usiyotarajia yatakukuta. Kikubwa usiwekee kitu chochote au mtu yeyote tumain. Ni Mungu tu ndie tumain la kweli. Kila mtu anaweza kukususa na kukusema vibaya Mungu pekee hata kukimbia . So muombe sana na usiweke sana akili zako kwa mtu hata huyo uliyenae. Usiamin kwamba nitaolewa na huyu natajenga life letu cjui nini. Hata akikukataa fresh tu we amin Mungu amekupangia mema mbele yako kazana pambana binafs mume mke atakukutana kwenye mapambana na hapo ndipo utakutana na alichokupangia Mungu na sio ulichopanga wewe. Acha kumpangia mungu cha kukupa au acha kuomba unachofikiri Mungu ni mwema anajua muda sahihi wa kukupa. Omba uwepo wa Bwana maishani mwako na ulinz wake. Omba asimame kukuongozq. Na uamke kupambana. Maisha ni mapambano sio kulialia. Simama uhesqbiweHabari wakuu
Nimehangaika sana kukabiliana na hili jambo lakini kwa uwezo wangu wote imeshindikana kabisa nahitaji msaada na ushauri haswa wa kiimani
Lakini msaada huu sipendelei munielekeze kwa manabii wala mitume wala dini nyingine tofauti na ukristo
Kama una mchungaji unamfahamu ambae ana uwezo wa kuongea na Mungu direct na shidq yangu ikatatuliwa naomba mni comments hapA
Tatizo linalonisumbua ni hili
Mimi ni binti wa umri wa miaka 26.. mwaka fulani nilipata mchumba wa kutaka kunioa.. wakati yuko kwenye hatua za kuja nyumbani sijui niseme bahati mbaya ama ni nzuri yule kaka Alifariki,, ilikuwa kama ghafla tu
Katika maisha yangu nishaumia na mengi ila hili jambo ni jambo linalo niumiza sana yaani mno… nimejitahidi kulikubali na nikajifanya nina nguvu ya kulikabiri, mbele za watu najifanya ni strong sitaki kulialia ila ndugu zanguni ni uongo ninalia sana na nina umia ndani kwa ndani kila nimkumbukapo huyo kijana
Tangu tatizo linipate sijawai kupata mtu wa kunifanyia counseling wala maombi.. sijawahi kuonana na mtu yoyote wa kidini ambae labda angeomba na mimi
Hata nikitaka kuomba mwenyewe siwezi nakosa kuomba nakosa maneno ya kuongea
Ubaya zaidi tangu huyo kijana afariki mimi kwangu mahusiano ni changamoto kila ninaempata ninafanya comparison sana kiasi kwamba najikuta naachwa achwaa
Kwa sasa nina mahusiano mapya yana miezi 5 angalau kuna ka mwanga lakini nahisi huyu Kijana atanichoka maana nampa pressure sana.. asiponitafuta nakuwa naogopa,, siogopi kuachwa naogopa nisije pewa taarifa za msiba
Hili jambo linanitesa sana hofu ya kuachwa imenitawala… hata kuolewa naogopa maana kila nikikumbuka kuhusu ex wangu marehemu inaniuma sana
Unajua Hakuna kitu kinaniuma kama kifo chake.. yaani mwanaume niliekuwa nampenda tunapenda yupo tayari kunioa.. baada ya mawasiliano ya masaa mawili napewa taarifa ya kifo chake
Mwanaume ambae tulipanga mipango mingi ya baadae…nilishaamini kuwa angeenda kuwa mme wangu,, baba wa watoto wangu,, niliacha kila kitu changu kwaajili ya kujiandaa kuwa mke wake
Unajua namna inavyouma 😭😭
Ni kama vile nilipokonywa tonge mkononi
Nahitaji kupata ushaurii wowote haswa wa kiimani
NB:
Naomba ushauri wa kwenda kwa manabii ama mitume ama watu wafananao na hao sihiitaji… siitaji kulishwa keki wala mafuta wala chumvi wala kitambaa.. sihitaji waganga wa kienyeji
Mimi ni mkristo kabisaa
Nahitaji kupata mtu wa kweli wa Mungu anaeongea na Mungu direct najua Tanzania nzima hatokosekana
Dear sijui kama utakuwa umenielewa vibayaHakuna mtu anayeweza kuongea na Mungu direct kwa niaba yako. Huyo hayupo.
Mungu ashindwe kukusikiliza wewe amsikilize mtu mwingine? Hapo unaenda kupigwa.
Shikilia imani yako hiyo hiyo huko unapoabudu tafuta mtu mzima wa kukushauri. Sali kivyakovyako.
Tatizo lako lingine unawaza sana kuolewa nadhani unahisi muda umekutupa mkono. Haipo hivyo.
Tambua ya kwamba ex alifariki bahati mbaya na amemaliza kazi yake hapa duniani unapaswa kumsahau na kumove on.
Usiharakishe kuingia kwenye mahusiano mapya jipe muda, jikeep busy na mambo mengine mchumba atakuja kwa wakati wake.
Hiyo kuomba ndio aMbaya nahitaka lakini siweziKwa kukusaidia Mungu hana dalali. Wewe ndie wa kumface na atakupa aman ya moyoni. Huo ndio ukubwa kadiri unavyokuwa wale wanaokuzunguka watakufa na hata yale usiyotarajia yatakukuta. Kikubwa usiwekee kitu chochote au mtu yeyote tumain. Ni Mungu tu ndie tumain la kweli. Kila mtu anaweza kukususa na kukusema vibaya Mungu pekee hata kukimbia . So muombe sana na usiweke sana akili zako kwa mtu hata huyo uliyenae. Usiamin kwamba nitaolewa na huyu natajenga life letu cjui nini. Hata akikukataa fresh tu we amin Mungu amekupangia mema mbele yako kazana pambana binafs mume mke atakukutana kwenye mapambana na hapo ndipo utakutana na alichokupangia Mungu na sio ulichopanga wewe. Acha kumpangia mungu cha kukupa au acha kuomba unachofikiri Mungu ni mwema anajua muda sahihi wa kukupa. Omba uwepo wa Bwana maishani mwako na ulinz wake. Omba asimame kukuongozq. Na uamke kupambana. Maisha ni mapambano sio kulialia. Simama uhesqbiwe
Ukiniuliza mimi nitakuwa sina majibu nachotaka ni msaada namna ya kulisahau hilo jamboSasa nani atakuoa wakati muda wote unakumbuka marehemu
Hapo sasaSasa nani atakuoa wakati muda wote unakumbuka marehemu